cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Jangwani itapotea sana, vitoto kutwaa kuzurura kkoo, na kukaa kwenye bajaji za wachumba zao. LolKibasila sec schools siku hizi wanazipita hizo shule zote hapo juu
Angalia matokeo ya Kidato cha 4 , cha 6 miaka mitano mfululizo utaniambia
Azania, Jangwani imebaki majina
Mkuu wa Kibasila apewe Maua yake