Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Wewe ndio.hutumii akili yako vizuri,hakuna mkoa utakao kwenda,bila kukuta watu wa dini tofauti na wasio na dini.Na shule ni hivyo hivyo,kuna mchanganyiko wa wenye diniWe nae acha kujifanya una akili sana. Hilo liko obvious. Kwan ukiambiwa nchi za kiislamu maana yake wote ni waislamu? Au unahisi wote walio vatican ni roman catholic? Acha ujinga. Stop pointing the obvious
Kwani nili irudia kwenye qoute yako au mumewenu kawavurugaBila shaka wanakubandua. Maana huwezi kuwa unarudia rudia same comment mara nyingi nyingi
Hatari mkuu.Hawawezi coz waislamu ndiyo wanaowaongoza,lazima wawataje mabosi zao,
Hivi unakijua kiwanda cha Bakhressa na mo na idadi ya wafanyakazi wake au ndio mmezoea kuropokaHao Matajiri unaowaelezea hapa sio Wabantu wenye ngozi nyeusi, pua pana na nywele ngumu kama wewe
Na isitoshe uongozi na kazi zao zinafanywa na Wagalatia, sio Wavaa kobasi
Mjini Magharibi, Kusini Pemba akina Yakhe vipi?! Ila tusije kushangaa mpango wa kiharamia wa kuondoa aibu hii unafanyika na madrasa Tul Yakhe zinageuka kuwa top performers! Msisahau hao ni watoto wa mama mwenye nyumba hao.Hii ni list ya shule zilizoshika mkia kwenye matokeo ya kidato cha nne mwaka 2022.
Ukiangalia vizuri kuna kitu kiko very common😃
View attachment 2503295
List imetawaliwa na #TeamMnyaazi
Source: Malisa GJ instagram account
Maeneo ya mwambao wa bahari mnapenda sana starehe ndio maana mnaangukia pua.Hii ni list ya shule zilizoshika mkia kwenye matokeo ya kidato cha nne mwaka 2022.
Ukiangalia vizuri kuna kitu kiko very common😃
View attachment 2503295
List imetawaliwa na #TeamMnyaazi
Source: Malisa GJ instagram account
Pemba kutakuwa na "vijamvi" labda.PEMBA NA PWANI (ZA SERIKALI)
TUANZIE HAPA, KUNA NINI?
WATU WA HUKU WANAKULA NINI?
PWANI KUNA VIGODORO PEMBA JE?
Unaugua akiliSio sababu
Kama walivyougua hao Wanafunzi sio?[emoji23]Unaugua akili
Hii ni list ya shule zilizoshika mkia kwenye matokeo ya kidato cha nne mwaka 2022.
Ukiangalia vizuri kuna kitu kiko very common[emoji2]
View attachment 2503295
List imetawaliwa na #TeamMnyaazi
Source: Malisa GJ instagram account
Una wazimu eeh? Hivi wewe una akili kweli? Acha umbwiga. Unashindwa kuidownload hiyo picha hapo wewe poyoyo?Nakuomba unitumie hii list kwenye whats app 0714267658 nitawhukuru kiongoz