Shule zilizoshika mkia matokeo ya Kidato cha Nne 2022

Shule zilizoshika mkia matokeo ya Kidato cha Nne 2022

Hii ni list ya shule zilizoshika mkia kwenye matokeo ya kidato cha nne mwaka 2022.

Ukiangalia vizuri kuna kitu kiko very common[emoji2]

View attachment 2503295
List imetawaliwa na #TeamMnyaazi

Source: Malisa GJ instagram account
Haisaidii .

Waje mtaani Tufanye maisha.

Wengine wake za watu hapo na waume.

Wengine wachungaji.

Bodaboda.

Hivyo hakuna ambaye hana umuhimu katika hayo matokeo
 
Pwani, Dar na Zanzibar ndio wanao run hii nchi
Marais, mabilionea, wakubwa ndio wametokea hiyo mikoa

Uchumi wa nchi hii ungekuwa ICU kama sio marais na wafanyabishara kutoka mikoa ya Pwani
Kuanzia Mwinyi aliyefungua nchi iliyokuwa imekabwa na ujamaa wa Nyerere

Mkapa aliyefanya ubinafsishaji wa makampuni yaloyokuwa yanaitia hasara serikali na kuleta uwekezaji mkubwa nchini

Kikwete aliyezidi kuifungua nchi, kukuza uhuru uchumi na watanzania wengi kuwa na furaha

Samia ambaye hadi wapinzani wamekiri anaupiga mwingi

Usishau akina Bakhressa, Turky na top 50 yote ya matajiri wa Tanzania ni asili ya ukanda wa Pwani

Mnawacheka ila ukweli ndio huo, nyie fauluni kwenye mashule wao wanafaulu kwenye maisha
Hao Matajiri unaowaelezea hapa sio Wabantu wenye ngozi nyeusi, pua pana na nywele ngumu kama wewe

Na isitoshe uongozi na kazi zao zinafanywa na Wagalatia, sio Wavaa kobasi
 
Umesahau mnajua na kuchambia maji yani kuosha matako kwa maji hili ni la muhimu na la kujivunia sana katika yote kuwazidi watu wa bara,[emoji23][emoji23][emoji23]
TAKIBIIIR....!!!
 
Shule tatu kutoka kaskazini unguja, na izi tatu zinatokea eneo la matemwe , matemwe maendeleo ni duni sana, na kunasifika kwa uchawi , eneo hili linahitaji nguvu ya ziada Ili kuboresha elimu.
 
Jf bhana,nyie si mnashauri kila siku humu kuwa watu wasisome pesa za Ada wafanyie biasghara Elimu ya Tz Haina maana na ajira hakuna?

Sasa mnalalama Nini??

Pwani wameamua kufanya biashara,mtoto akijua kusoma/kuandika na kurudisha chenji yatosha yakhe,
 
Pwani, Dar na Zanzibar ndio wanao run hii nchi
Marais, mabilionea, wakubwa ndio wametokea hiyo mikoa

Uchumi wa nchi hii ungekuwa ICU kama sio marais na wafanyabishara kutoka mikoa ya Pwani
Kuanzia Mwinyi aliyefungua nchi iliyokuwa imekabwa na ujamaa wa Nyerere

Mkapa aliyefanya ubinafsishaji wa makampuni yaloyokuwa yanaitia hasara serikali na kuleta uwekezaji mkubwa nchini

Kikwete aliyezidi kuifungua nchi, kukuza uhuru uchumi na watanzania wengi kuwa na furaha

Samia ambaye hadi wapinzani wamekiri anaupiga mwingi

Usishau akina Bakhressa, Turky na top 50 yote ya matajiri wa Tanzania ni asili ya ukanda wa Pwani

Mnawacheka ila ukweli ndio huo, nyie fauluni kwenye mashule wao wanafaulu kwenye maisha
Na una uhakika nchi Ina run!?
 
Back
Top Bottom