Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 46,405
- 138,158
Hizo sehemu zinachukua asilimia ngapi ya maeneo yote nchi nzima? Na kwa nini kama hizo sehemu zinafahamika zisipewe kipaumbele cha kufanyiwa maboresho kabla ya hizo mvua kuanza?Ni vizuri maana kuna sehemu bila kuvuka mito haufiki shuleni.
Ila kama mvua zilitarajiwa kuanza September mpaka sasa October karibu dunia nzima bado hazija ripotiwa yaweza kuwa zitakuwa kinyume na inavyo tahadharishwa haswa huku Tanzania