Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio rahisi hivyo boss. Hayanaga formula haya makituMwite geto. Hakikisha pako presentable; msosi mkali, vinywaji usisahau. Mkishakula na kunywa mkashiba, mwambie here is a boy, a girl and a bed. What next? Umemaliza!!
Umetisha Sana mdauMwite geto. Hakikisha pako presentable; msosi mkali, vinywaji usisahau. Mkishakula na kunywa mkashiba, mwambie here is a boy, a girl and a bed. What next? Umemaliza!!
Nipe tips mana Dem mkaliiiiiiiii halafu ni jeuriSio rahisi hivyo boss. Hayanaga formula haya makitu
Si nitamkimbiza mkuuMwambie njoo hapa, kwa sauti ya kiume ya ya mamlaka. Akikuletea jeuri, mwambia utakula jeuri yako.
Material things ain't a real sauce boy. Ishi nao kwa akili hawa, mbona submission yao unaipata easy tu. Patience is everythingMwite geto. Hakikisha pako presentable; msosi mkali, vinywaji usisahau. Mkishakula na kunywa mkashiba, mwambie here is a boy, a girl and a bed. What next? Umemaliza!!
Improve your looks.Wadau sikukuu ndo inazidi kuchangamka nipo maeneo ya kujidai halafu Kuna Dem ana jeuri kishenz,,,,jeuri zake ndio zmefanya niandike Uzi huu waungwana madem kama hawa wanakamatika je?
Kuna tips nimeidaka hapoImprove your looks.
Improve your confidence.
Kuwa mcheshi.
Alafu mwambie on spot kuwa umempenda. Akikataa achana naye maana naona unataka umweke kwenye pedestal, utaisha kijana. Kwanini umgang'anie asiyekupenda?
Hii idea 🔥Unajuana nae? Au ndio umemuona tu mshipa ukasimama??
Salaam, ikifatiwa na siku yako ilikuaje....mwambie yako pia ni super fine, "naomba kukununulia kinywaji ila sina cash hela ipo kwa simu naomba namba ya kutuma kama hautajali" akikupa namba tuma pesa kisa nyamaza.....nyamaza bro😹
Mbinu ikitiki uje namie nkupe namba unambie ahsante.
Akikataa achana nae bana wanawake ni wengi asikupande kichwani😹
Mbinu si mbaya ila itakuwa mbaya kama mwana akifall baadaye maana hapo kitu cha mvuto alitumia pesa, so siku akizikosa atapigwa za uso.Unajuana nae? Au ndio umemuona tu mshipa ukasimama??
Salaam, ikifatiwa na siku yako ilikuaje....mwambie yako pia ni super fine, "naomba kukununulia kinywaji ila sina cash hela ipo kwa simu naomba namba ya kutuma kama hautajali" akikupa namba tuma pesa kisa nyamaza.....nyamaza bro😹
Mbinu ikitiki uje namie nkupe namba unambie ahsante.
Akikataa achana nae bana wanawake ni wengi asikupande kichwani😹
Mchagulishe bega kibabe tu.Unakwama wapi?Wadau sikukuu ndo inazidi kuchangamka nipo maeneo ya kujidai halafu Kuna Dem ana jeuri kishenz,,,,jeuri zake ndio zmefanya niandike Uzi huu waungwana madem kama hawa wanakamatika je?
Mbinu si mbaya ila itakuwa mbaya kama mwana akifall baadaye maana hapo kitu cha mvuto alitumia pesa, so siku akizikosa atapigwa za uso.
Ila kama ni hit and run, good idea.
Inategemea na pigo zakeNipe tips mana Dem mkaliiiiiiiii halafu ni jeuri
NakaziaMwambie njoo hapa, kwa sauti ya kiume ya ya mamlaka. Akikuletea jeuri, mwambia utakula jeuri yako.
Jichanganye upigwe na kitu kizito.Hii idea 🔥
kwanini asimvizie ampige roba ya mapenzi 😂Unajuana nae? Au ndio umemuona tu mshipa ukasimama??