Shuleni inabidi waanze kutoa somo la namna ya kutongoza, ubakaji na ulawiti kwa watoto wadogo vimezidi

Mwite geto. Hakikisha pako presentable; msosi mkali, vinywaji usisahau. Mkishakula na kunywa mkashiba, mwambie here is a boy, a girl and a bed. What next? Umemaliza!!
Material things ain't a real sauce boy. Ishi nao kwa akili hawa, mbona submission yao unaipata easy tu. Patience is everything
 
Wadau sikukuu ndo inazidi kuchangamka nipo maeneo ya kujidai halafu Kuna Dem ana jeuri kishenz,,,,jeuri zake ndio zmefanya niandike Uzi huu waungwana madem kama hawa wanakamatika je?
Improve your looks.
Improve your confidence.
Kuwa mcheshi.
Alafu mwambie on spot kuwa umempenda. Akikataa achana naye maana naona unataka umweke kwenye pedestal, utaisha kijana. Kwanini umgang'anie asiyekupenda?
 
Unajuana nae? Au ndio umemuona tu mshipa ukasimama??

Salaam, ikifatiwa na siku yako ilikuaje....mwambie yako pia ilikua super fine, "naomba kukununulia kinywaji ila sina cash hela ipo kwa simu naomba namba ya kutuma kama hautajali" akikupa namba tuma pesa kisha nyamaza.....nyamaza bro😹

Mbinu ikitiki uje namie nkupe namba unambie ahsante.

Akikataa achana nae bana wanawake ni wengi asikupande kichwani😹
 
Unajuana nae? Au ndio umemuona tu mshipa ukasimama??

Salaam, ikifatiwa na siku yako ilikuaje....mwambie yako pia ni super fine, "naomba kukununulia kinywaji ila sina cash hela ipo kwa simu naomba namba ya kutuma kama hautajali" akikupa namba tuma pesa kisa nyamaza.....nyamaza bro😹

Hii idea 🔥
 
Mbinu si mbaya ila itakuwa mbaya kama mwana akifall baadaye maana hapo kitu cha mvuto alitumia pesa, so siku akizikosa atapigwa za uso.

Ila kama ni hit and run, good idea.
 
Wadau sikukuu ndo inazidi kuchangamka nipo maeneo ya kujidai halafu Kuna Dem ana jeuri kishenz,,,,jeuri zake ndio zmefanya niandike Uzi huu waungwana madem kama hawa wanakamatika je?
Mchagulishe bega kibabe tu.Unakwama wapi?
 
Unajuana nae? Au ndio umemuona tu mshipa ukasimama??

Salaam, ikifatiwa na siku yako ilikuaje....mwambie yako pia ni super fine, "naomba kukununulia kinywaji ila sina cash hela ipo kwa simu naomba namba ya kutuma kama hautajali" akikupa namba tuma pesa kisa nyamaza.....nyamaza bro😹

Mbinu ikitiki uje namie nkupe namba unambie ahsante.

Akikataa achana nae bana wanawake ni wengi asikupande kichwani😹
kwanini asimvizie ampige roba ya mapenzi 😂
 
Back
Top Bottom