Shunie kuanzia leo jiite rasmi Mrs. GENTAMYCINE kwani umeuteka moyo wangu kunakotukuka

Its my hope ukiwa kwenye mahusiano na huyu KENGE aliyejipenyeza katikati ya msafara wa MAMBA utapunguza fujo za kupost kuleeeeee kwenye mambo yetu pendwa dadequeeeee
 
I will remember you!!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nakuona unaitendea haki hiyo dawa iitwayo Carbamazepine, u relieve my moods .
cc. Carbamazepine
Mkuu, hivi kumbe Carbamazepine ni dawa? Tena ya ku-relieve moods? Nilikuwa sijui. Asante kwa kunifungua macho. Ngoja niende Google...[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Wimbo unaitwaje mkuu?, nataka niutafute niwe nausikiliza mzee
cc. Vladimirovich Putin
 
Poti ushamaliza kabisa hao watu lazima tuwalambishe viatu tena kama hao waha na wahaya wataishia magetini tu

Karibu sana mura
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimetumia simple language mkuu, ukienda google utakutana na complex information, waliosoma pharmacology nadhani watanielewa na si vinginevyo [emoji28]
 
Kwani una umri gani Mkuu mpaka uzungumzie ndoa leo? Kutokana na namna ulivyojibu hapo juu, umewahi kuwa kwenye ndoa awali? Kama jibu ni ndiyo, ilikuwaje ukaacha/ukaachika? Kama jibu ni hapana, kwa nini umewahi/umechelewa namna hiyo? By the way, all the best.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…