Shunie kuanzia leo jiite rasmi Mrs. GENTAMYCINE kwani umeuteka moyo wangu kunakotukuka

Shunie kuanzia leo jiite rasmi Mrs. GENTAMYCINE kwani umeuteka moyo wangu kunakotukuka

[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimetumia simple language mkuu, ukienda google utakutana na complex information, waliosoma pharmacology nadhani watanielewa na si vinginevyo [emoji28]
Usimtishe mkuu, kitu kiko murua kabisa hicho[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwani una umri gani Mkuu mpaka uzungumzie ndoa leo? Kutokana na namna ulivyojibu hapo juu, umewahi kuwa kwenye ndoa awali? Kama jibu ni ndiyo, ilikuwaje ukaacha/ukaachika? Kama jibu ni hapana, kwa nini umewahi/umechelewa namna hiyo? By the way, all the best.
This is JF and this is Chit-Chat.

Karibu sana mkuu!!
 
Kumbe ulitudanganya uliposema Le empire kaachana na social media ikiwemo JF wakati ana ID nyingine na yupo hewani muda wote[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Sio mahali pake hapa halaf panahitaji maelezo marefu utaniuliza sehemu nyingine au uje kapuku nitakupa jibu
 
Back
Top Bottom