Shunie kuanzia leo jiite rasmi Mrs. GENTAMYCINE kwani umeuteka moyo wangu kunakotukuka

Mrs.Genta ndani ya nyumba[emoji23][emoji23]
Hongera maa kwa kudondokewa na Genta.
 
chief habar yako ndugu

Unajua nyuzi km hizi ,nivema tuzisindikize na nyimbo matata matata tuuuu.
Habari yangu nzuri kabisa....natumai na ww pia upo vizuri.

Kweli kabisa chief...maana nilivyoona hizo lyrics ni kma vile nilikua nasika melody na sauti ya muimbaji akiimba mubashara [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Wanikaribishe vizuri sana
 
Mbavu zangu Genta [emoji23][emoji23]
 
Ooooohoo![emoji30][emoji30]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…