Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Enhee bora ujikoolee tu ukijikaza unaumia ndani kwa ndani shida yote ya nini Sasa HahaaaaNimekumbuka sana BANJA, inatabia ya kuforce ukitaka uizuie isitoke inalazimisha kutoka kwa nguvu na kwa sauti kubwa mithili ya baruti
Not in Puerto Rico but in Rwanda
Matako na bafu vinahusiana vipi??
Bado wewe nikuandikie gazetiShunie, uko wapi?????? Njoo
Aisee nitachizika kabisa. Kupendwa si mchezoBado wewe nikuandikie gazeti
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwani mi ndio nitakuwa wa kwanzaAisee nitachizika kabisa. Kupendwa si mchezo
Mke halali wa le empire ujueUwe labda umeshawahi sijui Kutongozwa humu au huko barabarani au hata kuwa na Mahusiano na Watu wenye Idadi kama Mabehewa yote ya Treni ya Bara au hata kama una mapungufu yako yoyote au hata kama Wewe ni mchawi / kigagula ila leo nikuambie tu rasmi kuwa katika Members wa JamiiForums ambao natamani sana siku moja Mimi na Yeye tusimame Madhabahuni tukiwa tunafunga Ndoa yetu ni Wewe uitwae Shunie.
Nina sifa moja kubwa kama pia si zawadi niliyopewa na Mwenyezi Mungu ya kujua sana kuchagua vitu vizuri, sahihi na makini na kamwe sijawahi kukosea hivyo nakuomba popote pale ulipo kuanzia sasa tena ikibidi ringa na tamba kabisa huku ukijiita Mrs. GENTAMYCINE kwani Moyo wangu Kwako umeshakufa Kitambo hivyo Kazi Kwako Wewe tu Kuuzika.
Bahati nzuri sijawahi Kumtongoza Mwanamke yoyote humu Jamvini tokea nijiunge rasmi hivyo asikutishe ' Kinyankera ' yoyote kuwa sijui nimeshawahi kumtokea au kumbandua / kumbaioloji ila Wewe ndiyo wa Kwanza hivyo jiamini huku ukitembea kifua mbele kuwa Wewe sasa ndiyo Mrs. Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer.
I love you so much Shunie mwaaaaaaaahhhhhhhhhh.....pokea rasmi hilo busu langu la thamani kubwa lililojaa ' mahaba ' ya Kimataifa.
Penzi ni Kikohozi na kulificha siwezi.
Nawasilisha.
Mie mzima kabisa. Sijui wewe?Mzima emmyta
Imekuwaje leo hulali?? Mida yako ya humu imebadilika leo mmmmmh!
Waweza kuwa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] kwani mi ndio nitakuwa wa kwanza
Niko poa kabisa. We najua tayari unafanya tu upembuzi kabla ya kutoa maamuziMie mzima kabisa. Sijui wewe?