Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
ingekaa chitchat ingipendeza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu endelea na mtongozo wako, kumbuka hyo ni demu wa mtu
Kumbe kunawanaoota eenhee ?😱 si mchezo
Pole yao basTena wako wengi mno na najua hivi leo nilivyomtaja rasmi Shunie yaani wamenuna huku midomo yao wakiwa wameirefusha kutoka Tegeta Nyuki hadi Mbagala Kizuiani.
ingekaa chitchat ingipendeza
Itakuwa vyema sana potiNaona unatafuta mapema na kijanja Kadi ya kuja Kudoea ' Mahanjumati ' katika Harusi yangu na Shunie wangu. Usijali Poti wangu Kilio chako nimekisikia.
Nshamuitaa sijui yuko waapii
Duuu, mkuu umefanya siri leo umeona ufunguke hadharani[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] salute mkuuUwe labda umeshawahi sijui Kutongozwa humu au huko barabarani au hata kuwa na Mahusiano na Watu wenye Idadi kama Mabehewa yote ya Treni ya Bara au hata kama una mapungufu yako yoyote au hata kama Wewe ni mchawi / kigagula ila leo nikuambie tu rasmi kuwa katika Members wa JamiiForums ambao natamani sana siku moja Mimi na Yeye tusimame Madhabahuni tukiwa tunafunga Ndoa yetu ni Wewe uitwae Shunie.
Nina sifa moja kubwa kama pia si zawadi niliyopewa na Mwenyezi Mungu ya kujua sana kuchagua vitu vizuri, sahihi na makini na kamwe sijawahi kukosea hivyo nakuomba popote pale ulipo kuanzia sasa tena ikibidi ringa na tamba kabisa huku ukijiita Mrs. GENTAMYCINE kwani Moyo wangu Kwako umeshakufa Kitambo hivyo Kazi Kwako Wewe tu Kuuzika.
Bahati nzuri sijawahi Kumtongoza Mwanamke yoyote humu Jamvini tokea nijiunge rasmi hivyo asikutishe ' Kinyankera ' yoyote kuwa sijui nimeshawahi kumtokea au kumbandua / kumbaioloji ila Wewe ndiyo wa Kwanza hivyo jiamini huku ukitembea kifua mbele kuwa Wewe sasa ndiyo Mrs. Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer.
I love you so much Shunie mwaaaaaaaahhhhhhhhhh.....pokea rasmi hilo busu langu la thamani kubwa lililojaa ' mahaba ' ya Kimataifa.
Penzi ni Kikohozi na kulificha siwezi.
Nawasilisha.
Kwa hiyo Shunie ndio mwenye bahati ya kupendwa na jamaa wa Musoma, intel wa Kagame, mzee wa Puerta Rico??
Naona umepata shemela dadakeNshamuitaa sijui yuko waapii
Nshamuitaa sijui yuko waapii
Kweli mwenye Dada hakosi shemeji!!!Naona umepata shemela dadake
Not in Puerto Rico but in RwandaAsee! Shunie opportunity comes only in one package. Accept and join him in Puerto Rico.
Naomba niwepo kwenye kamati ya burudani tafadhali [emoji38][emoji38]Naona unatafuta mapema na kijanja Kadi ya kuja Kudoea ' Mahanjumati ' katika Harusi yangu na Shunie wangu. Usijali Poti wangu Kilio chako nimekisikia.
Hahaaaaaaa jamaniiShunie una mkosi gani huo? Unapendwa na jamaa zombi kama hili??