Shunie tangu nimpe ujauzito ananinyanyasa sasa, nataka nimletee mke wa pili

Safi sana uamuzi mzuri[emoji109]
 
Ni nani? Nahitaji majibu ya kina bila kupepesa
hahahhh tumepewa ban wa3 sijui wa4 na love connect huko kwa yule dada anaetafuta mchumba

Watu walileta uzi wake wa nyuma jinsia yake haieleweki mara anataka mchumba wa kike jana kasema anataka mchumba wa kiume naona alienda kutusemea kwa mods
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] poleee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…