Shunie: The thread is special for you.

Hhahahaaa kweli hii nchi ngumu hakyanani!!

Lakini kitu nlichowaza ni jinsi mapenzi yalivyo na nguvu na kama angepatika injinia wa kubadilisha power of love kuwa electrical power basi tusingekuwa na mgao kwenye hii nchi!!

Lakini pia nimetafakari, unawezaje kumpenda mtu ambaye humjui, unless mnajuana otherwise hii itakua maajabu!!

Endeleeni na kiakao wajameni!

USHAURI...

Naona kama ungemfwata pm atleast umuombe namba then mkutane face to face ndio umwage unyenye wako ingekua raisi kidogo kuliko kufanya public kiasi hiki....
 
Asante
 
Hiyo ni njia ambayo ungeitumia wewe mkuu, mimi nimetumia njia nyingine lakini lengo ni moja na mlengwa ameelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…