Nkungulume
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,987
- 1,209
[emoji13] [emoji14] [emoji12]Pm yangu inatatizo la kiufundi.
Ila nitalishughulikia soon baada ya swala la shunie kufika tamati.
Hilo la Shinue liko sawa si unaona wako kimya?Pm yangu inatatizo la kiufundi.
Ila nitalishughulikia soon baada ya swala la shunie kufika tamati.
Bado upo kwel umedhamiria shunie apate mchumbaPm yangu inatatizo la kiufundi.
Ila nitalishughulikia soon baada ya swala la shunie kufika tamati.
Hapana aiseeh, lengo langu lilikuwa ni shunie apatiwe mihamala sasa bahati mbaya shemeji yangu huyu mihamala kwake ni sumu.Bado upo kwel umedhamiria shunie apate mchumba
Hivi Ni kweli au nahisi naota?Safi tu habari ya kutekwa?Kk hajambo?
Utakuwa unaota kweli, maana siku hizi unalala sana mpaka umemwambukiza jirani yako Neybright usingizi.[emoji12] [emoji12] [emoji12]Hivi Ni kweli au nahisi naota?
Mpenzi wako carba kakumis embu mtafuteHivi Ni kweli au nahisi naota?
Ahahahaaaaaa majirani wapendanaoUtakuwa unaota kweli, maana siku hizi unalala sana mpaka umemwambukiza jirani yako Neybright usingizi.[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Nashukuru sana brother,natumai umevuka salama kabisa.Youngblood heri ya mwaka mpya ... Msalimu sana Jimena wa mikesha ...
jje's analijua hilo?Ahahahaaaaaa majirani wapendanao
Analijua kwasababu hatuna agenda mbaya hatajje's analijua hilo?
Kama jje's na Joseverest wanalijua hilo basi sina neno na nyie endeleeni kupendana sana maana tar.14 Feb.haiko mbaliAnalijua kwasababu hatuna agenda mbaya hata
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kama jje's na Joseverest wanalijua hilo basi sina neno na nyie endeleeni kupendana sana maana tar.14 Feb.haiko mbali
Walikuwa couple? Wengine wageni wageni humu...Kichwa kichafu hajambo kabisa, naskia mmeachana jamani shida ni nini?
Ndiyo japo walikuwa wanaficha sanaWalikuwa couple? Wengine wageni wageni humu...
Itakuwa unaota aiseh!Hivi Ni kweli au nahisi naota?
Akikujibu niite na mimi shemWalikuwa couple? Wengine wageni wageni humu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eeh jamaniNdiyo japo walikuwa wanaficha sana