Shunie: The thread is special for you.

Mi Shunie nimfahamuye ni binti halisi mlimbwende wa Kibantu, mkweli, mcha Mungu, mwenye vipaji lukuki (vikiwemo uandishi), asiye na majivuno, msomi na mwenye busara sana. Ni mmojawapo wa mabinti ninaowaheshimu sana hapa JF....
Ukimkosea anakuambia ukweli tu, mnayaongea yanaisha na urafiki unarudi pale pale. Mimi alishawahi kunipa ushauri wa maana sana mpaka nikashangaa. Namheshimu sana !!!
Nimekosa cha kuongea nawapenda tu mimi [emoji8][emoji8][emoji8] msukuma na mwifwa asanteni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…