Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] huyu sijawahi muona kwa malkia wa goshen wapenzi wa malkia wa goshen wanajulikanaWe sema utakuwa unataka urushiwe Hadith pm ya malikia wa goshen lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] huyu sijawahi muona kwa malkia wa goshen wapenzi wa malkia wa goshen wanajulikanaWe sema utakuwa unataka urushiwe Hadith pm ya malikia wa goshen lol
Jamaaan ila chura wananisingiziaMpaka sasa nimepata sifa za shunie kama 4 hivi
i. Mrembo
ii.white
iii.wowowo
iv.kibonge
Naamini atakuwa na jicho la kungu huyu dada na kiuno cha nyigu, ebu ongezeeni masifa yake mengine
NimeshakujaMsubiri anakuja mkuu
AbeeehShunie.....
Ahahha yaan Nokia wewe una nini lakiniAnajifanya hajaona huu uzi
Vyote vyote itakuwaUmemlaiki shunie au avatar?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Na wowowo lake si la mchezo mchezo.
Mi Shunie nimfahamuye ni binti halisi mlimbwende wa Kibantu, mkweli, mcha Mungu, mwenye vipaji lukuki (vikiwemo uandishi), asiye na majivuno, msomi na mwenye busara sana. Ni mmojawapo wa mabinti ninaowaheshimu sana hapa JF....
Ukimkosea anakuambia ukweli tu, mnayaongea yanaisha na urafiki unarudi pale pale. Mimi alishawahi kunipa ushauri wa maana sana mpaka nikashangaa. Namheshimu sana !!!
Nimekosa cha kuongea nawapenda tu mimi [emoji8][emoji8][emoji8] msukuma na mwifwa asanteniNaunga hoja mkono.
Kipindi sijazoeana naye humu, tuliwahi kukwazana kwenye uzi fulani. Baada ya kuwa nimemsoma na kugundua alichonacho kichwani nikamkubali pia nikamkumbusha sehemu tuliowahi kukwazana, akakumbuka na akakiri, tukacheka tukafurahi na tukasameheana.
Shunie ni mdau wangu sana humu jamvini!!
Nimekuja mama sifa si za nchi hiiShunie ukuje huku mama ujipatie sifa zako
[emoji120][emoji120] nyie tena wazee wa malkiaNnadhani sio wewe tu watu wengi tunamwelewa sana hapa JF anayoyafanya
Nakutumiaulishaliona,? picha tafadhali [emoji56]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Tupo wengi sana
Muhenga mie nipo hapaSiyo kawaida Shinue kuwa kimya hivyo ila ujue kwamba ni mhenga kwa mjuibu wake mwenyewe
Ewaaaaaa mama wa makamoMkuu Shinue siyo bint ni mama
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Rafiki nina wowowo si la nchi hiiHilo wowowo lake uliliona wapi mkuu?[emoji53][emoji53]
Akikujibu nitagAhahha yaan Nokia wewe una nini lakini
[emoji3][emoji3][emoji3]