Shunie: The thread is special for you.

Shunie: The thread is special for you.

Mi Shunie nimfahamuye ni binti halisi mlimbwende wa Kibantu, mkweli, mcha Mungu, mwenye vipaji lukuki (vikiwemo uandishi), asiye na majivuno, msomi na mwenye busara sana. Ni mmojawapo wa mabinti ninaowaheshimu sana hapa JF....
Ukimkosea anakuambia ukweli tu, mnayaongea yanaisha na urafiki unarudi pale pale. Mimi alishawahi kunipa ushauri wa maana sana mpaka nikashangaa. Namheshimu sana !!!
Naunga hoja mkono.

Kipindi sijazoeana naye humu, tuliwahi kukwazana kwenye uzi fulani. Baada ya kuwa nimemsoma na kugundua alichonacho kichwani nikamkubali pia nikamkumbusha sehemu tuliowahi kukwazana, akakumbuka na akakiri, tukacheka tukafurahi na tukasameheana.

Shunie ni mdau wangu sana humu jamvini!!
Nimekosa cha kuongea nawapenda tu mimi [emoji8][emoji8][emoji8] msukuma na mwifwa asanteni
 
Back
Top Bottom