Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Na unavyopenda kulala sasa sakayo kafichwa na hii hali ya hewaOhooo, yani mvua kubwa si mchezo,natamani muda wote nilale tu.
Wapi sakayo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na unavyopenda kulala sasa sakayo kafichwa na hii hali ya hewaOhooo, yani mvua kubwa si mchezo,natamani muda wote nilale tu.
Wapi sakayo.
Itabidi uwe unamtagi awe anajumuika nasiHuyo ana super glue ya makapuku na jukwaa la entertainment huku kwengine haji
Yani acha tu.Na unavyopenda kulala sasa sakayo kafichwa na hii hali ya hewa
Hataki anamlinda shululu wake huko na wakati shululu mwenyewe anazurula kila jukwaa yupoItabidi uwe unamtagi awe anajumuika nasi
Zimefika young atakuja tuYani acha tu.
Poa mwambie nampa hi.
Okay poa,mchana mwema ShunieZimefika young atakuja tu
Hata shululu sio mzurulaji kama sisi wengine nao mpaka sasa amekimbiaHataki anamlinda shululu wake huko na wakati shululu mwenyewe anazurula kila jukwaa yupo
Na wewe pia Youngblood[emoji124] [emoji124]Okay poa,mchana mwema Shunie
Mwezi ujao zamu yako2018 imekuja na neema kwako Shunie
Poa brother Mwifwa.Na wewe pia Youngblood[emoji124] [emoji124]
tehe tehe tehe sio 2019Mwezi ujao zamu yako
Hapana mwezi wa pili mambo yatanyooka kabisa kwakotehe tehe tehe sio 2019
Asante young na kwako piaOkay poa,mchana mwema Shunie
Shululu mzururaji huwa nakutana naeHata shululu sio mzurulaji kama sisi wengine nao mpaka sasa amekimbia
Ni kidogo sana hawezi kukufikia weweShululu mzururaji huwa nakutana nae
tehe tehe tehe kwa kweliAmeen love ni kwa neema na rehema [emoji7][emoji120][emoji3]
Kweli nyani haoni kundule kwahiyo wewe hapo umejitoaNi kidogo sana hawezi kukufikia wewe
Aaah mi sio mzurulaji sana kama wewe japo ukitoka wewe nafuata MimiKweli nyani haoni kundule kwahiyo wewe hapo umejitoa