Shunie: The thread is special for you.

Shunie: The thread is special for you.

Mpaka sasa nimepata sifa za shunie kama 4 hivi
i. Mrembo
ii.white
iii.wowowo
iv.kibonge

Naamini atakuwa na jicho la kungu huyu dada na kiuno cha nyigu, ebu ongezeeni masifa yake mengine
Dada mambo?
 
Mkuu wewe bado hujapata couple humu ndani? Angalia bhana unaweza ishia kuhesabu couple za wenzako tuu
Haahahah bado mkuu inabidi niandae uzi wa kutafuta couple hali ni mbwayi na hichi kibaridi ndio balaa kbs
 
Back
Top Bottom