Shura ya Maimamu Tanzania: Mlinzi Mwanamume wa Rais kuvaa Hijabu na kuingia Msikitini

Shura ya Maimamu Tanzania: Mlinzi Mwanamume wa Rais kuvaa Hijabu na kuingia Msikitini

Tuseme alikuwa mwanaume. Jee kiimani anakatazwa kuswali upande wa wanawake!?
Hoja hii hapa

Ifahamike kuwa Wanawake wa Kiislamu huvaa mavazi ya stara kusitiri aura zao mbele ya wanaume wasio waume zao.
Lakini wanapokuwa sehemu ya wanawake Msikitini huwa huru kupunguza stara zao kwa kuamini kuwa hakuna mwanamume atakaye waumbua.

Jibu hili hapa

Kwa hiyo mwanamume kuingia sehemu hiyo tena kwa kificho, ni kudhamiria kuwaona utupu wanawake hao wachamungu wenye tabia ya kujistiri. Na hiicho ni kitendo kibaya cha kuwadhalilisha na kuwafedhehesha wanawake wachamungu.
 
Hawa wanatafuta matatizo.

Watakachokipata watajuta.

Watu WA Usalama Unawauliza na Unataka Wakujibu??
Watu wengine mna haiba ya kitumwa mpaka inashangaza. Mnaishi wapi wakati dunia imepiga hatua kubwa kabisa na watu wanajitambua? Watu wa usalama ni Malaika? Hawaulizwi? Wana turufu ya kufanya chochote? NB: kwenye hayo ya malumbano ya sijui dume kuingia msikitini siko kwa sababu inawezekana siyo mwanamke. Nimechangia kwa sababu nimeshangaa unavyojidhalilisha kama wewe siyo binadamu mwenye utu.
 
Hoja hii hapa

Ifahamike kuwa Wanawake wa Kiislamu huvaa mavazi ya stara kusitiri aura zao mbele ya wanaume wasio waume zao.
Lakini wanapokuwa sehemu ya wanawake Msikitini huwa huru kupunguza stara zao kwa kuamini kuwa hakuna mwanamume atakaye waumbua.

Jibu hili hapa

Kwa hiyo mwanamume kuingia sehemu hiyo tena kwa kificho, ni kudhamiria kuwaona utupu wanawake hao wachamungu wenye tabia ya kujistiri. Na hiicho ni kitendo kibaya cha kuwadhalilisha na kuwafedhehesha wanawake wachamungu.
Huo ni mtizamo.

Jee Kuna andiko limetumika kujenga mtizamo huo!?
 
Asante sana kwa ufafanuzi.
Naomba kuuliza shura ya imam na bakwata wana kauli moja ama kila mmoja ana kuwa na kauli yake haswa kwa maswala tata kama haya.
Shura ya maimamu ni miongoni mwa taasisi ambazo waislam waliunda kujikomboa toka bakwata,baada ya mwinyi kuambiwa na mufti hemed bin jumaa 'inaelekea Nyerere hakukwambia bakwata ni nini'.. mwinyi akawaasa waislam waunde taasisi nje ya bakwata,ndiyo likaundwa 'baraza kuu' na taasisi nyingine chini yake ikiwemo shura
 
Back
Top Bottom