Shura ya Maimamu yataka Mkataba wa Bandari Uboreshwe na haki itendeke kwa Makumi ya Masheikh walioko Jela nchi nzima

Pole kwa povu , ila Rudi jibu swali waislamu mna hospitals zipi mpaka muingie mkataba?

Mpaka sasa wakristo uwa tunachangishana na tunazijenga zipo mpya nyingi Sana
Kuna Mabohora na Washia wamejenga nyingi sana na zinatibu akina Joseph na Rose pia. Mwafrika mweusi (Wakristo kwa Waislam hamna kitu walichojenga) Fanyeni kazi Waafrika wenzangu mnakaa kupoteza nguvu kubwa kushindania Dini za Wazungu na Waarabu. Kwao kumeendelea hapa kwetu hata mashimo ya vyoo kwenye mashule ni mtihani.

Tunachoweza ni kushindania Dini au Kufia Dini, Umbea, Majungu, Ulozi, Uvivu uliopindukia, Wizi, Unyang'anyi, Siasa maji taka, Ubadhirifu wa Mali za Umma, Uzembe, Starehe bila kufanya kazi, Umalaya na Uzinzi.

Fanyeni kazi mtengeneze vipato na tuinue uchumi wa familia zetu na uchumi wa nchi.
 
Uko sawa ustaadh?
 
ndugu gaidi, naomba nikuelimishe leo. nachukua tu mfano wa hospitali za walutheran, walioleta kanisa la lutheran hapa bongo, pamoja na kwamba asili ya kanisa hilo ni ujerumani, ila wamissionari wengi walitoka nchi za scandinavia, nchi hizo ziliweka bajeti kabisa kugarmika umishenari, ikiwepo na kujenga shule, makanisa na hospitali. pesa hizo zilitokana na kodi za raia wao. tuambie sasa, nchi hizo za scandinavia, ziliwahi kutawala nchi gani hapa afrika kama koloni lao? hapo ndio ujue wewe ni empty headed na hicho mnachodanganywa kwenye majumba yenu ni uongo mtupu, mnalishwa matapishi.

kwa kanisa katoliki, waliwahi kuiba mali gani kwa nchi za africa? taja. pia kama hauelewi, hata ukoloni ulipoisha, ni hospitali na shule nyingi sana zimejengwa. shule na hospitali zilizojengwa baada ya ukoloni ni nyingi mno kuliko zile chache zilizojengwa kipindi cha ukoloni na wamisionari. catholic church kwa mfano, karibia kila penye kanisa wamefikiria kujenga shule kuanzia ya vidudu na wamejenga na vyuo vikuu. pesa wanayojengea ni ya sadaka, wakristo wakitoa sadaka huwa wanaitumia kujenga kanisa, shule na hospitali, hatuitumii kula ubwabwa au kugarimia magaidi.

kanisa pekee la kikoloni ni anglican ambalo ni la uingereza, tutajie, shule gani walizonazo, ondoa tu kile chuo cha st.john dodoma iliyokuwa shule ya mazengo. ninyi mmejenga nini?
 
kuna siku moja niliwasha tv ya Upendo, kwenye king'amuzi cha azam, nikawa naangalia kanisa sijui la kijitonyama sijui wapi lile, wakawa wanatangaza sadaka za jumapili iliyopita, wakawa pia wanatangaza michango iliyotolewa, ni milioni nyingi tu. imagine hiyo ni kila jumapili. pia, hatuwezi kubisha, wazungu wengi kipindi cha nyuma wamechanga sana kwenye makanisa yao huko ulaya kuja kujenga hospitals na shule hapa, ni sadaka kama sio za hapa ni za huko. ni ajabu kwamba unaamini huwa tunatoa sadaka chache,watu tunakamuliwa michango hadi wengine wanakimbia kanisa ili tujenge hospitali wewe uje utibiwe na wake zako wanne. hilo kwenu haliwezekani ndio maana unafikiri na kwa wengine haliwezekani.
 
Sasa tulia upewe data mgalatia usie na heshma kwa wazee .

Umetaja kuwa makanisa yenu yamejengwa na Scandinavia countries na ukauliza kwa jeuri kabisa ukisema "
tuambie sasa, nchi hizo za scandinavia, ziliwahi kutawala nchi gani hapa afrika kama koloni lao?
Jibu ni kuwa.

Denmark, for example imetawala colonies ndani ya Africa, ikiwemo the Danish Gold Coast (ambayo hivi sasa ni upande wa nusu ya Ghana) na the Danish West Indies (ambayo kwa sasa inaitwa US Virgin Islands). Similarly, Sweden ilikuwa na coloni Lake hapo hapo Upande wa pili wa GHANA in UITWAO Fort Christiansborg.

We huna elimu lkn una kiburi km wengi wa wagalatia mlivyo.

Norway na Sweden wamepiga Dhahabu za Africa in Billions of Dollars.
We ulidanganywa wamekujengeeni Hospitali afrika kwa sababu wanapenda hizo pua zenu au makalio yenu makubwa?

Mzungu yyt hajawahi kutoa msaada wa Bure bila maslahi na Anaamua kutumia jina la KANISA sababu wakristo kwenye kupewa VITU VYA BURE huwa hamuulizi vimetoka wapi na bado mtawatungia na kwaya ya kuwasifu.

Sisi waislamu huna ruksa ya kujenga chochote MPK UTUHAKIKISHIE HIO PESA ULIKUJA NAYO NI HALALI ASILIMIA 100% Hatutaki Pesa za HARAMU kutafuta Ujiko wa kipumbavu.

Hakuna Hospital hata moja kubwa imejengwa kwa hizo senti za michango yenu ya weekend. Zote zimejengwa na WAZUNGU MAJAMBAZI WA MALI ZETU.

Sasa nadhani utakuwa umeona upumbavu wako kuwa Elimu huna lkn Una kiburi full tank.
 
We unatoa jero kila weekend hio hospitali ya Dola milion 5 utachanga mpk yesu arudi na bado hazitakamilika.
Unakimbia michango sababu Michango yenu anakula mchungaji ndio maana Wachungaji wote wana nyumba nzuri wakati we umepanga chumba Pugu

Unadai umeona kwenye TV
We mgalatia siku zote hujajua kuwa mnachanga kiasi gani mpk TV YA MUISLAMU YA AZAM ikutangazie?🤣

Ugalatia kazi kubwa sana
 
nisiende huko kwasababu najua huna elimu. haya, na kwenye issue ya makanisa, shule na hospitali zilizojengwa baada ya ukoloni? vyuo vikuuu n.k? na waarabu mbona wameiba sana pembe za ndovu na kuuza babu zako ila hawajawahi kujenga chochote zaidi ya misikiti?

shule za kanisa kabla ya uhuru zilikuja kuporwa na nyerere baada ya uhuru, chache sana zilibaki na kanisa. kwa sasaivi kila palipo na kanisa la catholic, kuna shule ya watoto na wana mpango kujenga na ya wakubwa. popote utakapoenda nchini hapa kwenye kanisa la wakatoliki utakuta hiyo, na ni sadaka ndugu. acha kujifanay una kichwa kigumu.
 
kama hujui, kila jumapili milioni nyingi tu huwa zinakusanywa kwenye makanisa. sijui nikusaidieje uelewe hili. hivi ninyi mnakuwaga na sadaka?
 
Dhaarau sana, hakuna anayesikilizwa.
 
kama hujui, kila jumapili milioni nyingi tu huwa zinakusanywa kwenye makanisa. sijui nikusaidieje uelewe hili. hivi ninyi mnakuwaga na sadaka?
Labda na mimi nitazame AZAM km wewe ili nipate kujua
🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…