Dada FaizaFoxy anaabudu binadamu. Nataka atoe hoja zake dhidi ya watu wanaomuamini Allah.Hapo hapo kandamiza kieleweke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada FaizaFoxy anaabudu binadamu. Nataka atoe hoja zake dhidi ya watu wanaomuamini Allah.Hapo hapo kandamiza kieleweke
kwani hutibiwa bure ?Wanaotibiwa kwenye hizo Hospitali ni Wakristu peke yao? Hawa jamaa wana shida vichwani.
Umeshikwa pabaya huna hoja 😛😛Hao sura ya imamu asilimia 80 ya hoja zao zimejikita kuhoji mikataba ya kanisa na serikali pia urasimishaji uliofanyika katika serikali za awamu ya 4,kimsingi wamejificha kwenye kichaka cha kuhararisha mkataba wa dpw indirect.
MJADALA WA BANDARI KATI YA WANANCHI NA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI (G.Msigwa)
01 Julai, 2023
SEHEMU YA KWANZA (01).
G. MSIGWA: Kumekuwa na Upotoshaji juu ya Makubaliano haya, Leo Mtajua mbivu na Mbichi Kuhusu Mkataba wa Bandari.
WANANCHI: Aaaahh! Kwani Kati ya Ninyi watu wa Serikali na Wananchi nani Mpotoshaji?😒
G. MSIGWA: Maswali yenu yote yatajibiwa na Wakili wetu Msomi Ndugu Mohamed.
WANANCHI: Sawa, Tunaweza Kuanza?
MSIGWA: Karibuni
(Maswali ya Mwana CHAMA Wa CHADEMA STUDENTS' ORGANIZATION (CHASO))
MWANA CHASO: Katiba kama Sheria mama ya Nchi, inasema Bandari zote zipo chini ya Serikali ya Muungano, Kwanini Mkataba Huu Unaziweka Bandari za Tanganyika peke yake chini ya Serikali ya Dubai kupitia Kwa DPW?
MSIGWA: Zanzibar Wanajitegemea kupitia mamlaka zao za Bandari Kwa mujibu wa sheria😟
MWANA CHASO: Kaka Ulisema Maswali ya Kisheria atajibu Wakili Mudi. Hebu Mwache Ajibu🤒
MSIGWA: Sikiliza, huu Mkataba ni kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai, chini ya Mamlaka ya bandari za Tanzania TPA na DP World. huelewi Nini hapo?
MWANA CHASO: 😒 Tufanye nimeelewa. Hebu nipatie kirefu Cha TPA Ndugu Msemaji.
MSIGWA: Ni Tanzania Port Authority. Ikiwa na maana Mamlaka ya Bandari Tanzania.
MWN. CHASO: Asante Kwa jibu zuri. Kama nakuelewa, Ukisema TANZANIA Unamaanisha Kote, yaani Bara na visiwani. Sasa turudi kwenye Swali langu, Ni kwanini Mkataba haujumuishi na Bandari za Zanzibar?😎
MSIGWA: Eeem. Aaaam la. la. Lakini, Hebu Wakili Mohammed Mweleweshe huyu.
WANANCHI WOTE: Vicheko 😂😂😂😂😂😂
WAKILI MUDI: Kutokana na Makubaliano ya Kimataifa, Miaka ya 1980 hadi 1990 Zanzibar ilianzisha Sheria zilizoipatia Mamlaka ya Kuendesha Bandari zake. Hivyo, ndiyo maana Haija jumuishwa katika Mkataba Huu.
MWN. CHASO: Wakili, nataka kufahamu kati ya Kifungu Cha Sheria, na Ibara ya Katiba, ni kipi Chenye Mamlaka zaidi ya Kingine?
WAKILI MUDI: Kwa kawaida, Katiba ndiyo yenye Mamlaka.
MWN CHASO: Sasa nataka kufahamu, kati ya Katiba inayosema Bandari zote zipo chini ya Serikali ya Muungano, na Hizo Sheria zinazosema Zanzibar iendeshe Bandari zake, ni ipi inapaswa kuheshimika na Kufuatwa?😒
WAKILI MUDI: 😥Ki. ki. kiukweli hapo Kuna Madhaifu, lakini...
MWN. CHASO: Hamna Cha lakini, Tuambie Kati ya Katiba, na hizo Sheri zinazokinzana na Katiba ni kipi kinastahili kufuatwa!?😎
MSIGWA: Tusikilizane, twende Taratibu. Wewe Ulishawahi kuona wapi TPA imesimamia Bandari za Zanzibar?🥵
MWN. CHASO: Kaka Msigwa, Mimi ni Mwanafunzi wa Sheria, Namuuliza Mwanasheria Mwenzangu Ili anijibu Kisheria. ila kama na wewe ni Mwanasheria, Tafadhali tujibu Kisheria🤒
MSIGWA: Wewe unaelezwa vizuri hutaki Kuelewa, Inatosha Kaa chini na wengine waulize Maswali😡
WANANCHI WOTE: Aaaahh hakunaa Ajibiwe.!!!! Ajibiwe.!!!
Maelewano yakakosekana na Swali halikijibiwa. Wengine Wakapewa Nafasi ya Kuuliza Maswali. Kuutetea uovu ni Kazi NGUMU Sana😂😂
"CHASO - Chanzo Cha Fikra Bora ✊🏼✌🏼"
Dedan Chacha Wangwe
👆🏾Akili kubwa sana. Msigwa na vibaraka wake wajitafakari. Wakubali ushauri wa Professor Issa Shivji warudi bungeni warudie matapiko yao.
Anzisheni za kwenu basi.kwani hutibiwa bure ?
Anzisheni za kwenu basi.
Tec tayari huko amka 😄Tamko kama hili la kupinga mkataba wa bandari lingetolewa na TEC kelele zawajinga zingesumbua sana..
Bahati nzuri kila upande unazidi kuulaani ule mkataba wa hovyo wa bandari, naamini yule kiziwi lazima atasikia.
Ukisoma vizuri hoja za Shura ya Maimamu, utagungua UNAFIKI uliojificha wa Hawa ndugu zetu; usoni anakuchekea na kujionyesha muungwana:Hao sura ya imamu asilimia 80 ya hoja zao zimejikita kuhoji mikataba ya kanisa na serikali pia urasimishaji uliofanyika katika serikali za awamu ya 4,kimsingi wamejificha kwenye kichaka cha kuhararisha mkataba wa dpw indirect.
Hospital zote unazoita za wakristo zimejengwa na wazungu kwa pesa hizi hizi walizoiba hapa nchini.Wanaotibiwa kwenye hizo Hospitali ni Wakristu peke yao? Hawa jamaa wana shida vichwani.
Waislamu mna hospitals zipi mpaka muingie na nyie mkataba?miradi mikubwa ya Afya na Elimu ya Makanisa. Ingawa fedha hizo ni za Watanzania wote lakini serikali haikuwahusisha Waislamu katika mjadala na wala haina mpango wa kufanya mkataba kama huo na raia Waislamu Tanzania. Kubwa zaidi mkataba huo ni wa milele hauna ukomo.
HII NCHI DAAH
We kwa akili kuambiwa unadhani KCMC Bugando na zingine zilijengwa na Zile buku jero mnazochanga weekend kwenye Kikapu?Waislamu mna hospitals zipi mpaka muingie na nyie mkataba?
Pole kwa povu , ila Rudi jibu swali waislamu mna hospitals zipi mpaka muingie mkataba?We kwa akili kuambiwa unadhani KCMC Bugando na zingine zilijengwa na Zile buku jero mnazochanga weekend kwenye Kikapu?
Tatizo wengi wenu mmezaliwa mmekuta vitu vimefanyika mkadanganywa makanisani kuwa KANISA ndio limejenga!
Kanisa lilikuwa na miradi gani ya kujenga hizo Hospital?
Hospital zote zimejengwa na WAPAGANI ( WAZUNGU) kwa kutumia pesa walizoiba hapa hapa nchini
Kuamua kujipendekeza kwa Nyerere wakaamua kuandika jina la makanisa .
Lkn usijidanganye kuwa haya Makanisa yanayoimba kwaya weekend yamejenga HOSPIhata moja Kubwa hapa nchini kwa pesa zao.
Km ulidanganywa Leo umejua.
Ukibisha nenda Kaulize Pale Makao makuu ya Ardhi nani alikuwa mjenzi kama utakuta jina la Pengo au kkt dayosisi ya paroko ya upako.
Tatizo wabusu jiwe mnafikiri nyie mnavyotoa sadaka za jero na Wakristo ni hivyoWe kwa akili kuambiwa unadhani KCMC Bugando na zingine zilijengwa na Zile buku jero mnazochanga weekend kwenye Kikapu?