StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 4,153
- 4,301
Ile nyomi ya 2020 humu JF haipo?kwanini Lissu anaonekana kutoaminika hapa JF?
labda ni vigeu geuIle nyomi ya 2020 humu JF haipo?
Haitawekana japo watajaribu na fitina zitakuwa nyingi sanaNimewaza tu,kama ni kweli kwamba Lisu amegoma kabisa kulamba asali anataka nini basi?. Yaani anafanya siasa kwa lengo gani kama lengo lake sio kulamba asali?.Kiukweli naona nyota nyota tu🤣🤣🤣🤣🤣
Unamaanisha ile nyomi ya Lisu 2020 imemgeuka Lisu?. Kama imemgeuka Lisu Je, imemgeukia nani?labda ni vigeu geu
Wenyewe wanaamini wana mkono mrefu so wanaweza kufanya chochote na wasifanywe chochoteHaitawekana japo watajaribu na fitina zitakuwa nyingi sana
Kwa kura za mtandaoni kashindaTL hashindi kaka... hilo ondoa shaka.
2020 lisu alikuwa anapambana na adui wa haki.Unamaanisha ile nyomi ya Lisu 2020 imemgeuka Lisu?. Kama imemgeuka Lisu Je, imemgeukia nani?
Lowasa si inasemekana kwamba alikuwa mtu wao hivyo walimtuma kazi maalum?. Na alipoikamilisha akakaribishwa nyumbani?. Nawaza kuhusu huyu ambaye kulamba asali amegoma. Kizunguzungu🤣🤣🤣🤣Wafute usajili wa chama unadhani ni rahisi kihivyo? Kama ni rahisi wangekuwa wameshafuta kipindi Lowassa anagombea uRais
Timing imeshakataa ya kulamba Asali yenye cyanide.Nimewaza tu,kama ni kweli kwamba Lisu amegoma kabisa kulamba asali anataka nini basi?. Yaani anafanya siasa kwa lengo gani kama lengo lake sio kulamba asali?.Kiukweli naona nyota nyota tu🤣🤣🤣🤣🤣
Sawasawa mkubwa. Ngoja niwe mpole,nipunguze machachari🤣Timing imeshakataa ya kulamba Asali yenye cyanide.
Acha mvua kubwa iendelee kunyesha ili Tanzania ipone