Si ajabu Lissu akishinda uenyekiti, CHADEMA kikafutiwa usajili 🤣

Si ajabu Lissu akishinda uenyekiti, CHADEMA kikafutiwa usajili 🤣

Wafute usajili wa chama unadhani ni rahisi kihivyo? Kama ni rahisi wangekuwa wameshafuta kipindi Lowassa anagombea uRais
 
Wafute usajili wa chama unadhani ni rahisi kihivyo? Kama ni rahisi wangekuwa wameshafuta kipindi Lowassa anagombea uRais
Lowasa si inasemekana kwamba alikuwa mtu wao hivyo walimtuma kazi maalum?. Na alipoikamilisha akakaribishwa nyumbani?. Nawaza kuhusu huyu ambaye kulamba asali amegoma. Kizunguzungu🤣🤣🤣🤣
 
yanini kulambishwa asali kwenye kijiko wakati kuna pipa zima limejaa asali..yaami wahuni wana billioni 25 alafu eti wanakupoza billioni 2 tu ili usiwabughuzi si bora upambane ukaumiliki ww huo mzinga.
 
Ukikifutia usajili maana yake umeruhusu waliokuwa wanakupinga wafanye upinzani wa nje ya vyama vya siasa.

Sidhani kama CCM ni wapumbavu kiasi hicho.
 
Kwanini watu muda wote mnawaza ujinga? Kwamba TL ashinde kisha wafute usajili? Unadhani kufuta usajili ni kama kufuta maandishi ya chaki ubaoni?
 
Nimewaza tu,kama ni kweli kwamba Lisu amegoma kabisa kulamba asali anataka nini basi?. Yaani anafanya siasa kwa lengo gani kama lengo lake sio kulamba asali?.Kiukweli naona nyota nyota tu🤣🤣🤣🤣🤣
Timing imeshakataa ya kulamba Asali yenye cyanide.
Acha mvua kubwa iendelee kunyesha ili Tanzania ipone
 
Back
Top Bottom