Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Hajulikani hoja yako ni nini zaidi ya kuutetea wizi wa bandari yetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko ndo kuuza nchi?hivi hujui kama aliuza Loliondo hata kwenye kitabu chake amekiri? au unajitoa ufahamu?
Wanasema identiko fazaaKwa nini ni Mwinyi na Sa100?
📌📌🔨🔨🔨. Na Samia analijua hilo, ndio maana ameweka pamba masikioni, maana watanganyika wanachelewa kuelewa.Sometimes kuwatoa watu kwenye kiza unaweza ambulia matusi makubwa sana. Hadi watu hao wafike kwenye mwanga ndo wanakuja kugundua aaha kumbe tulikuwa tunakuja huku.
Huna bandari wewe!Umeishiwa hoja kwenye mkataba wa hovyo wa bandari, sasa unaona uwekeze kwenye historia tu!.
Watanganyika tunataka bandari zetu zote mlizowapa waarabu milele.
Unataka Ku justify nn hapa?View attachment 2678190
Huu wimbo wa kila Rais kuambiwa anauza nchi ulianza kwa Rais Mwinyi, unajua sababu ilikuwaje?
Baada ya Nyerere kwenda China mwaka 1966 akasema akakuta kule China kila kitu kinafanywa na serikali kuanzia maduka ya mchele na sigara hadi magari ya taxi na bakery za kuuza mikate.U communist ulikuwa umepamba Moto sana sana, ingawa leo wachina washaufuta kabisa huo ucommunits. Lakini kipindi Nyerere anaenda huko hadi Suti zile tunaita Kaunda Suit Nyerere alitoa huko kwa wachina. Waziri mkuu wao anaitwa Choun Enlai kama sikosei, Kaunda nae alizitoa huko huko kwa wachina.
Nyerere aliporudi mwaka 1967 akapitisha Azimio la Arusha na kuanza rasmi "siasa za Ujama na kujitegemea" na kutaiifisha biashara zote za watu binafsi na majumba yao na kampuni za Serikali za kuuza mchele na sigara zikaanzishwa kukaja RTC ikaja Co Cabs kampuni ya taxi ya serikali. RTC na maduka ya kijiji na mtaa na shirika la kusaga na kukoboa unga na Makampuni Tele Tele ya serikali.
Ikawa marufuku kwa mwananchi kumiliki taxi yako binafsi hata kununua gari tu Kwa kibali maalum kwanza. Ikawa marufuku kuwa hata na kiduka cha kuuza mchele na unga na sigara, ukifanya hivyo wewe ni mhujumu wa uchumi na bepari na mkabaila. Siasa hizo pia zilifanya kila shirika kuwe na ofisi ya CCM wananchi wanafundishwa utii na itikadi za siasa ya Ujamaa na kujitegemea.
Pamoja na mazuri mengi sana ya Nyerere na siasa ya Ujamaa na kujitegemea lakini ukweli usemwe ku copy kila kitu Kwa wachina bila kuangalia mazingira yetu alikosea sana hasa pale alipojaribu kuanzisha vijiji vya ujamaa. Watu wakaondolewa kwa nguvu kwenye mashamba yao wakalazimishwa kulima shamba la kijiji.
Wengine waliogoma wakachomewa nyumba zao moto waende wahamie kwenye vijiji vya ujamaa, wapo walioliwa na Simba na wengi walipohamia huko wakawa masikini zaidi. Hadi zoezi la vijiji vya ujamaa likapigwa stop, nchi ikaingia na njaa, uzalishaji ukapungua.
Kupata bidhaa kama sigara na mchele au unga ikawa Kwa kupanga foleni na kupigana vikumbo kwenye maduka ya vijiji na mitaa. Hali ikawa mbaya zaidi vita ya Uganda ilipofika.
Wakati Mwinyi anachukua nchi hali ilikuwa mbaya sana ikabidi aanze na kuruhusu watu binafsi wafanye biashara hizo ndogo ndogo kama kuuza mikate, mchele na sigara ili serikali itoke huko. Kampuni kama co cabs ya Taxi ikabidi iaachwe ife kifo cha kawaida, maduka ya RTC ikabidi nayo yafe, watu wenye exposure kidogo na biashara.
Wahindi, waarabu since Wana mitaji ya ndugu zao nje uzoefu wakawa wa kwanza kushika biashara hizo kabla ya waswahili, wachaga, wakinga n.k kuja later kuzishika na kuwa replace kabisa baadae. Wakati haya yote yanayokea alichoambulia Mwinyi ni matusi tu ya "kuuza nchi "na "kuwapa wahindi na waraabu" njia za uchumi as if kuna mswahili aliezuiwa kumiliki duka la kuuza mchele na sigara.
Leo hiii Kariakoo yote imejaa watu wa makabila tofauti, watu wamejiongeza now wanaenda wenyewe popote pale iwe China au Uturuki, haijalishi we mkinga au mchaga unafanya biashara popote Kwa uwezo wako wa akili na mtaji.
Popote leo ukianzisha mashine ya kusaga na kukoboa mchele au duka la jumla hakuna wa kukuita bepari wala kabaila, wala kukutisha.
Kilelele ilikuwa mwaka 1992 ambapo Mwinyi alifuta kabisa Azimio la Arusha na kuleta Azimio la Zanzibar ambalo lilipiga kabisa marufuku ya wananchi kunyayaswa Kwa aina yoyote kuhusu vibali vya biashara, wala kuuliza uliza watu kuhusu biashara wanazotaka kufanya na kuanza kuwaletea zengwe la "makabaila na mabepari"
Matusi aliyopata Mwinyi kuwa "anauza nchi" yalikuwa makubwa sana na mambo ya kumuita Mzanzibari tunataka Tanganyika yalikuwa mengi Sana kama sasa tu au pengine zaidi lakini alipokuja Rais Mtanganyika watu walikuwa tayari washazoea "matunda ya Rais Mwinyi' kiasi washasahau kuwa walikuwa wanataka turudi nyuma tena kwenye maduka ya serikali na taxi za Serikali na maduka ya vijiji na serikali kuuza mikate na sigara.
Sometimes kuwatoa watu kwenye kiza unaweza ambulia matusi makubwa sana. Hadi watu hao wafike kwenye mwanga ndo wanakuja kugundua aaha kumbe tulikuwa tunakuja huku.
Chuki tu hizo. Che nkapa alizawadiwa mche wa gold kule barick enzi hizo za utawala wake sijuwi kama unalijua hiloMwinyi alipigiwa kelele baada ya kuingia Mkataba na Waarabu kuhusu Pori Tengefu la Loliondo. Mkataba wa kinyonyaji ambao haina tofauti na huu wa Bandari. Kwanini tusiseme tena kwa sauti "Mwinyi Mzanzibari kauza nchi"??
Unamjua aliyeuza migodi ya dhahabu hapa Tanzania?Sifia chenye sifa jombaa. Huyo mwinyi si ndo aliuza loliondo hadi sasa si yetu? Vipi kuhusu kubinafsisha viwanda?
kuuza mali ni jambo moja kuirejesha hiyo mali iliyouzwa ni jambo lingine kabisa, usichanganye mambo.Utasemaje aliuza Loliondo wakati vibali vya uindaji vinatolewa na kufutwa na Rais yeyote?
Mkapa kwanini hakufuta? Kikwete? Magufuli??hao wote wasifute vibali ??
Au hajui ardhi yote Tanzania iko chini ya Rais??anaweza futa hati yeyote??
Umegeuka bibi wa vihoja badala ya hoja sasaWewe una migezi kibao tumboni, hujuwi kutumia kwa faida tu.
UMEFAFANUA VIZURI SANA. TATIZO LETU NI CCM NA SERA MBOVU.Mkuu The Boss,
Ni kweli serikali ya China walimiliki njia kuu za uchumi na kupanga sera zote za uchumi kutoka serikalini (central Planning)
Lakini wachina walinza kurekebisha uchumi wao rasmi mwaka 1978 na wakati huo Tanzania sera za Azimio la Arusha zimeyumba sana.
Mabadiliko ya uchumi wa China yaliitwa Reform and Opening Up na yalibuniwa na Deng Xiaoping akiongoza wanamabadiliko wengine ndani ya chama cha kikomunisti cha China CCP.
Mabadiliko ya uchumi wa China yalikuwa ni mabadiliko kwelikweli kuanzia ndani ya China yenyewe yaani uwekezaji binafsi, ubunifu na ujasiriamali, na ukuzaji uchumi kwa ajili ya soko la ndani. Baada ya hatua hiyo Wachina wakaingia kwenye kuhakikisha waongeza umri wa kustaafu kazi, kudhibiti watu waso na kazi (unemployment) kwa kuhakikisha watu waenda kufanya kazi viwandani, kuhudumia walohitaji huduma za afya na mwisho kufanya mabadiliko katika makampuni na mashirika ya umma katika kuyaendesha na usimamizi wake.
Mwaka 1989 kukawa na matatizo ambayo yalipelekea kukawa na yale maandamano maarufu pale Tiananmen Square na kuna watu walizuia vifaru vya jeshi na watu wengi walikufa.
Maandamani yalee yalitokana na hali ngumu ya uchumi kwani ukianza kufanya mabadiliko ya uchumi ili uuweke sawa ni lazima kuna asilimia kubwa ya watu wataathirika na vyuma vitaanza kubana, na hapo Wachina walijiandaa kwa hilo.
Baada ya haya mambpo ya maandamano kuisha mwaka 1992 bwana Deng Xiaoping akafanya ziara kubwa sana kusini mwa China kwenye miji ya Zhuhai, Ghuangzou, Shenzhen na Shanghai na hotuba yake ilikuwa ndo kiini cha miji hiyo kuwa ilivyo leo hii na Ghuangzou ukiwa kitovu cha biashara cha kimataifa.
Hotuba ya Xiaoping ilikuwa ni ya kusisimua na yenye kutia hamasa akasema, ataka mji wa Ghuangzou ufanane na nchi nne ziloitwa Four Asian Tigers ndani ya miaka 20.
Naam, mwaka 2014 China ilikuwa imeipita Japan na kuwa nchi ya pili kwa uchumi mkubwa duniani.
Hivyo, chama cha CCP walifanya na mambo makuu kwa hatua mbili kama yafuatayo:
Hatua ya kwanza
1. Kwa miaka 10 (1970 hadi 1980) kurekebisha njia zitumikazo kwa kilimo na kukifanya kiwe cha kisasa zaidi ili kupata mazao mengi kulisha nchi, kuweka akiba na kuuza nje.
2. Kufungua nchi kwa ajili ya mitaji ya moja kwamoja yaani Direct Investiment.
3. Kuruhusu wajasiriamali kufanya biashara bila woga na kuondoa urasimu.
4. Pamoja na hayo yote mashirika na makampuni ya umma yaliendelea kuwa chini ya serikali.
Hatua ya pili 1980- 1990
1. Kubinafsisha mashirika na makampuni ya umma au serikali kwa watu binafsi/makampuni binafsi ili wayaendeshe chini ya usimamizi mkali.
2. Kuingia mikataba na watu/ makampuni binafsi kuendesha makampuni na mashirika ya umma.
3. Kuondoa udhibiti wa bei na masoko.
4. Kuondoa sera na sheria ngumu zinodhibiti ukuaji wa biashara na mitaji yake.
5. Pamoja ya yote hapo juu bado njia kuu za uchumi kama mabenki, bandari, mashirika kama ya mafuta na rasilimali zingine yalibaki kuwa chini ya serikali.
Mambo haya niloeleza , ndiyo yaliifanya sekta binafsi nchini China kukuwa sana na GDP kufikia asilimia mwaka 2005 na wakti huo bwana Hu Jintao na baadae bwana Wen Jiabaoi wakiwa mawaziri wakuu waliendeleza libeneke na kuanzia hapo China ikawa tishio kwa Marekani.
CCM imekuwa madarakani tangia ilipoasisiwa kutoka TANU na imeshindwa kuiweka Tanzania katika moja ya mataifa bora kiuchumi katika eneo la maziwa makuu na ukanda wa Afrika Mashariki na kati.
Hatua alozichukua Hayati Mwalimu ni kweli alitaka kuiga Wachina, lakini alikosa watu wa kumsaidia kuangalia ni wapi afanye aloyataka au wapi aache kubana. Pia hata alipokuja mzee Mwinyi nae alishauriwa vibaya juu ya utandawazi na marekebisho ya Uchumi.
Alipokuja hayati Mkapa ndio akaharibu kabisa kwa kuachia njia kuu za uchumi kama benki ya NBC kwenda kwa wageni ambao walimiliki asilimia zaidi ya 60 nq hata yeye mwenye kujigawia sehemu ya rasilimali za taifa.
Mzee Kikwete yeye alitaka tu kufanya kitu chaitwa Checks and Balances (nafikiri wale mazee watanielewa hapa) na mwisho wake uchumi haujulikani umesimama wapi na nani audhibiti.
Alipokuja hayati JPM alijikuta amechelewa na sanasana akaamua kufanya aloyafanya na yalikuja kuleta athari kubwa maana hakujipanga sawasawa.
Wachina walijipanga kwa kila kitu kuanzia chama chenyewe cha CCP na hakukuwa na maombi popote pale ni kazi tu.
Unapofuata sera za Glasnost (uwazi) na Perestroika |(marekebisho) watakiwa kuwa mkweli na si mjanja kama Mikhail Gorbachev ambae kumbe kwa pembeni alikuwa aiuza USSR mpaka ikaanguka.
Lakini Wachina wamefuata kiukweli sera za Glasnost na Perestroika na le hii China ni nchi yenye uchumi mkubwa duniani.
Lini tutaweza kufanya Kwa ufanisiView attachment 2678190
Huu wimbo wa kila Rais kuambiwa anauza nchi ulianza kwa Rais Mwinyi, unajua sababu ilikuwaje?
Baada ya Nyerere kwenda China mwaka 1966 akasema akakuta kule China kila kitu kinafanywa na serikali kuanzia maduka ya mchele na sigara hadi magari ya taxi na bakery za kuuza mikate.U communist ulikuwa umepamba Moto sana sana, ingawa leo wachina washaufuta kabisa huo ucommunits. Lakini kipindi Nyerere anaenda huko hadi Suti zile tunaita Kaunda Suit Nyerere alitoa huko kwa wachina. Waziri mkuu wao anaitwa Choun Enlai kama sikosei, Kaunda nae alizitoa huko huko kwa wachina.
Nyerere aliporudi mwaka 1967 akapitisha Azimio la Arusha na kuanza rasmi "siasa za Ujama na kujitegemea" na kutaiifisha biashara zote za watu binafsi na majumba yao na kampuni za Serikali za kuuza mchele na sigara zikaanzishwa kukaja RTC ikaja Co Cabs kampuni ya taxi ya serikali. RTC na maduka ya kijiji na mtaa na shirika la kusaga na kukoboa unga na Makampuni Tele Tele ya serikali.
Ikawa marufuku kwa mwananchi kumiliki taxi yako binafsi hata kununua gari tu Kwa kibali maalum kwanza. Ikawa marufuku kuwa hata na kiduka cha kuuza mchele na unga na sigara, ukifanya hivyo wewe ni mhujumu wa uchumi na bepari na mkabaila. Siasa hizo pia zilifanya kila shirika kuwe na ofisi ya CCM wananchi wanafundishwa utii na itikadi za siasa ya Ujamaa na kujitegemea.
Pamoja na mazuri mengi sana ya Nyerere na siasa ya Ujamaa na kujitegemea lakini ukweli usemwe ku copy kila kitu Kwa wachina bila kuangalia mazingira yetu alikosea sana hasa pale alipojaribu kuanzisha vijiji vya ujamaa. Watu wakaondolewa kwa nguvu kwenye mashamba yao wakalazimishwa kulima shamba la kijiji.
Wengine waliogoma wakachomewa nyumba zao moto waende wahamie kwenye vijiji vya ujamaa, wapo walioliwa na Simba na wengi walipohamia huko wakawa masikini zaidi. Hadi zoezi la vijiji vya ujamaa likapigwa stop, nchi ikaingia na njaa, uzalishaji ukapungua.
Kupata bidhaa kama sigara na mchele au unga ikawa Kwa kupanga foleni na kupigana vikumbo kwenye maduka ya vijiji na mitaa. Hali ikawa mbaya zaidi vita ya Uganda ilipofika.
Wakati Mwinyi anachukua nchi hali ilikuwa mbaya sana ikabidi aanze na kuruhusu watu binafsi wafanye biashara hizo ndogo ndogo kama kuuza mikate, mchele na sigara ili serikali itoke huko. Kampuni kama co cabs ya Taxi ikabidi iaachwe ife kifo cha kawaida, maduka ya RTC ikabidi nayo yafe, watu wenye exposure kidogo na biashara.
Wahindi, waarabu since Wana mitaji ya ndugu zao nje uzoefu wakawa wa kwanza kushika biashara hizo kabla ya waswahili, wachaga, wakinga n.k kuja later kuzishika na kuwa replace kabisa baadae. Wakati haya yote yanayokea alichoambulia Mwinyi ni matusi tu ya "kuuza nchi "na "kuwapa wahindi na waraabu" njia za uchumi as if kuna mswahili aliezuiwa kumiliki duka la kuuza mchele na sigara.
Leo hiii Kariakoo yote imejaa watu wa makabila tofauti, watu wamejiongeza now wanaenda wenyewe popote pale iwe China au Uturuki, haijalishi we mkinga au mchaga unafanya biashara popote Kwa uwezo wako wa akili na mtaji.
Popote leo ukianzisha mashine ya kusaga na kukoboa mchele au duka la jumla hakuna wa kukuita bepari wala kabaila, wala kukutisha.
Kilelele ilikuwa mwaka 1992 ambapo Mwinyi alifuta kabisa Azimio la Arusha na kuleta Azimio la Zanzibar ambalo lilipiga kabisa marufuku ya wananchi kunyayaswa Kwa aina yoyote kuhusu vibali vya biashara, wala kuuliza uliza watu kuhusu biashara wanazotaka kufanya na kuanza kuwaletea zengwe la "makabaila na mabepari"
Matusi aliyopata Mwinyi kuwa "anauza nchi" yalikuwa makubwa sana na mambo ya kumuita Mzanzibari tunataka Tanganyika yalikuwa mengi Sana kama sasa tu au pengine zaidi lakini alipokuja Rais Mtanganyika watu walikuwa tayari washazoea "matunda ya Rais Mwinyi' kiasi washasahau kuwa walikuwa wanataka turudi nyuma tena kwenye maduka ya serikali na taxi za Serikali na maduka ya vijiji na serikali kuuza mikate na sigara.
Sometimes kuwatoa watu kwenye kiza unaweza ambulia matusi makubwa sana. Hadi watu hao wafike kwenye mwanga ndo wanakuja kugundua aaha kumbe tulikuwa tunakuja huku.
Ukweli mtupu.View attachment 2678190

Hakuna kilicho uzwa...mbona Magufuli aliwafukuza Friedkin waliokuwa wapinzani wakubwa wa hao waarabu wa loliondo?alishindwa nini fukuza waarabu??..kuuza mali ni jambo moja kuirejesha hiyo mali iliyouzwa ni jambo lingine kabisa, usichanganye mambo.
Hakuna kilicho uzwa...mbona Magufuli aliwafukuza Friedkin waliokuwa wapinzani wakubwa wa hao waarabu wa loliondo?alishindwa nini fukuza waarabu??..
Sheria iko wazi Kabisa Ardhi yote Tanzania ni Mali ya serikali na yeyote anaepewa anapewa Kwa kibali maalum ambacho wakati wowote Rais akiamua kinabatilishwa