Si hata Rais Mstaafu Mwinyi walisema anauza nchi? Kiko wapi?

Chuki nyingi sana.....utasema kuna kozi maalum ya chuki wanapitia
 
Are you serious? Au unatania tu?
 
Mkuu,

Kuna kitu chaitwa China Shock umewahi kukisikia?

Hiii ni pale bidhaa za China kwenda Marekani na Ulaya ziliathiri masoko, viwanda na ajira ndani ya nchi hizo kwa kiasi kikubwa.

Bidhaa hizi ni zile za matumizi (consumer goods) na bidhaa za kutumika kutengeneza bidhaa zingine (capital goods) na mchina hapa aliwaweza Marekani na bara la Ulaya kwa kujaza kila kitu kwenye nchi hizo.

Hivyo WTO walitaka wazungumze na China ili kuangalia mabadiliko niloyaeleza hapo juu kama yaweza kurekebishwa kiasi cha kuifanya China nayo ikubali bidhaa kutoka katika nchi hizo na pia kuruhusu makampuni ya kutoka nchi hizo kwenda China kufungua viwanda na biashara.

Hivyo kulikuwa na negotiations za kutosha kabla China kukubali kuingia WTO.
 
Mwinyi alipigiwa kelele baada ya kuingia Mkataba na Waarabu kuhusu Pori Tengefu la Loliondo. Mkataba wa kinyonyaji ambao haina tofauti na huu wa Bandari. Kwanini tusiseme tena kwa sauti "Mwinyi Mzanzibari kauza nchi"??
Kaeni na umasikini wenu, eti mkidai mapori myakumbatie wenyewe. Ndio maana Kagame anawacheka! Haya kaeni na mapori yenu kama yatawapa Dola za kimarekani. Someni muelimike.
Tanzania si nch ya kupa Trilioni 2 kwa mwezi. ni vioja!
Mngemsikiliza Mwinyi leo mngechezea Trilioni 5 mpaka 8 kwa mwezi. Kalaga baho!
 
Hajulikani hoja yako ni nini zaidi ya kuutetea wizi wa bandari yetu
Hoja ni kuwa, watanzania waukataa utajiri na wanapenda kukumbatia umasikini. Hoja yeyote inayoleta maendeleo ya kweli hatuipendi badala yake tumekumbatia wapigaji. Malalamiko ya bandari toka nizaliwe ni yale yale, leo eti mtanzania bado anataka serikali iendeshe hiyo Bandari licha ya kupigwa kila siku.
 
Hakuna rais muislamu aliyeongoza bila kampeni against him…. Na wahusika wakuu ni walewale

Sadly hata sisi wakatoliki, Marais wetu we’re not perfect
 
Hakuna rais muislamu aliyeongoza bila kampeni against him…. Na wahusika wakuu ni walewale

Sadly hata sisi wakatoliki, Marasi wetu we’re not perfect
Very very sad...
 
Ama huyu bingwa anayo habari ya Chavda ? Loriondo ameshairudisha? Nani aliipiga mnada
 
Elimu mujarabu,Asante Kwa shule hii ya bure
 
Brilliant

One thing for sure… China imeprivatize enterprise yake lakini imeweka mikono na inasaidia sana private sector

Hakuna uchumi unaokua bila serikali kuibeba private sector na hakuna private sector inayokua bila kufungua mipaka Kwa wageni
 
 
Sometimes kuwatoa watu kwenye kiza unaweza ambulia matusi makubwa sana. Hadi watu hao wafike kwenye mwanga ndo wanakuja kugundua aaha kumbe tulikuwa tunakuja huku.
Kwanini tunabadilisha main topic kuhusu DPW? Yaani tumekua wajinga kiasi hiki kweli?
 
Mimi nakumbuka ule uzushi wa Riziwan kukamatwa China...huwa nacheka Sana ukiona mtu msomi anaongea vitu vya vijiwe vya bodaboda
Ukweli wa riziwani na madawa ya kulevya ninao mimi hata kijana wake mmoja alikuwa anaishi kinondoni na mwingine ukonga niponaye hapa jirani tu ....riziwani ni mwanachama wa genge moja mashuhuri la madawa ya kulevya duniani ....hata wewe mimi nakujua vizuri circle yako na wauza ngada...ilo genge linatumia sana watoto wa hovyo wa viongozi wakubwa ili kufanikisha biashara zao ...moja ya sera zao ni kuwavuta watoto wa viongozi wakubwa na viongozi wenyewe ili kutengeneza HEAVEN PEACE KWENYE HIYO BIASHARA YENU NA KUTAKATISHA PESA ZA HIZO BIASHARA
 
Utasemaje aliuza Loliondo wakati vibali vya uindaji vinatolewa na kufutwa na Rais yeyote?
Mkapa kwanini hakufuta? Kikwete? Magufuli??hao wote wasifute vibali ??
Au hajui ardhi yote Tanzania iko chini ya Rais??anaweza futa hati yeyote??
Umeelewa kuhusu Loliondo?

Lile eneo amekodishiwa Muarabu kimkataba kwa miaka 200, kwa miaka hiyo ni sawa kabisa na kusema ni eneo lake

Mkataba haumruhusu Mtanzania yeyote kufanya chochote pale hata kuwinda mnyama aliyepo eneo lile, mpaka Airport yake anayo

Sasa hapo hajauziwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…