Si kila Mchungaji, Nabii au Mtume anayetumia Biblia kufundisha ni Mkristo, wengine ni matapeli

Naona andiko lako kama la kuwapiga madongo tu manabii, mitume na wachungaji wa kisasa huku likiwa haliwagusi wale wa zamani, halafu Ukimwi sio matokeo ya dhambi, kuna watu wanazaliwa nao na wengine wanaupata kwa sababu nyingi sana.
 
Mko bize na wachungaji na manabii ila Waganga na washirika wao mnawaruka .
Hawa ndio wanafanya uharibu Grade one Kila Kona na hamuwazingatii.
Waambie,maana wanajifanya hawajui ya waganga.maneno lundo kwa manabii
 
Rudi kajifunze Ubatizo na maana yake
Halafu ujue pia Yesu hakufa, aliyekufa ni Kristo
Ukiuelewa ukristo utaelewa


Yesu ni Mungu

Ma d nawe ubatizo c mnasema ondoleo la dhambi ya asili alofanya Adam na hawa au nini

Tena yesu hakufa? Dah alokufa kristo mhhh tatizo hili.


Yesu ni Mungu dooooh
 
Rc ni matapeli pia
unaweza kutubu kwa binadamu mwenzio
Hakuna Mkatoliki anae Tubú kwa binadamu mwenzie hata mmoja!
Kabla hujaandika ni Heri Umuombe Roho Mtakatifu Akufunulie!
IMEANDIKWA!
[emoji116][emoji116]
John 20:23
[23]Wo wote mtakaowaondolea dhambi, wameondolewa; na wo wote mtakaowafungia dhambi, wamefungiwa.

Matthew 7:1-5
[1]Msihukumu, msije mkahukumiwa ninyi.

[2]Kwa kuwa hukumu ile mhukumuyo, ndiyo mtakayohukumiwa; na kipimo kile mpimiacho, ndicho mtakachopimiwa.

[3]
Basi, mbona wakitazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako, na boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe huiangalii?

[4]Au utamwambiaje nduguyo, Niache nikitoe kibanzi katika jicho lako; na kumbe! Mna boriti ndani ya jicho lako mwenyewe?

[5]Mnafiki wewe, itoe kwanza ile boriti katika jicho lako mwenyewe; ndipo utakapoona vema kukitoa kile kibanzi katika jicho la ndugu yako. Kutweza Kitakatifu

1 Corinthians 4:5
[5]Basi ninyi msihukumu neno kabla ya wakati wake, hata ajapo Bwana; ambaye atayamulikisha yaliyositirika ya giza, na kuyadhihirisha mashauri ya mioyo; ndipo kila mtu atakapoipata sifa yake kwa Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…