Si kila mtu ni wa kumkaribisha nyumbani kwako

La gioconda

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2015
Posts
471
Reaction score
737
Epuka kukaribisha kila mtu nyumban kwako au kwenye makazi yako wengi wao huwa na roho chafu.

Umkaribishapo katika makazi yako bila kuijua roho yake.

Vile anavyo maisha yako na jinsi uishivyo hawapendi na hupelekea kuacha roho chafu hizo katika nyumba yako.

Unaweza mkaribisha mtu katika nyumba baada ya yeye kuondoka.

Mafarakano yakaanza baina yako na mke/mume bila sababu au ukaanza kumwa hovyo kila siku hospital. Basi tambua mtu huyo si mzuri.

Au hata katika biashara lazima uyumbe. Pia epuka kwenda kwenye majumba ya watu hovyo.

Baadhi ya watu si wazuri.
 
1. Wapo baadhi ya mafirauni kazini, au mnayokutana nayo kwenye BURUDANI mapbavu mengine yanayopenda sifa za kutambulisha tambulisha watu au kutafuta sifa za kwenda kumuonyesha maendeleo yake nyumbani huyabeba na kuyapeleka nyumbani. Matokeo yake uligeuka tuu anaanza kukonyeza na kutongoza kuanzia kuku,paka ,mbwa, make na watoto

Mbaya zaidi wanawake Wana katabia Cha asili Cha kujipendekeza kwa wageni..Siku mkiudhiana anaamini yule aliyekukuta naye ndiye rafiki na wandanj wako katika Kila respect kumbe Kila rafiki Kuna vitu vichache vinavyowaunganisha anaenda kutaka usuluisho kwake mwisho wa siku Lile lifirauni linajifanya jema na lizoefu la kubembeleza mwisho wa siku shemeji shemeji huku wazima taa.

Boss epuka kutuma tuma nyumbani kwako subordinate wako na chawa wako ,hapo unavunja na kuharibu nyumba yako.ambo ya kazini,umwinyi uishie kazini yapo mabiss mengine maujinga unakuta wafanyakazi wadogo wa ofisini kawafanga kama ma house boy, dereva wa kazini ndio yupo nyumbani kumpeleka mama sokoni mwisho wa siku unatumza watoto ambao sii wako na watoto unaowasomesha kwa garama wanaambukizwa NGOMA wakiwa wadogo
 
🙄🙄🙄
 
Mh! imani nyengine hovyo!
Na pia tupo zama nyingine kabisa zaman tuliishi kijama bila matatizo lakini kwa sasa watu wamebadilika
Nitajuaje kama huyu ana roho chafu na huyu hana? Au nizuie wote tu hakuna kukanyaga nyumban kwangu.

Moja ya hao watu wenye roho chafu ni wewe pia. Nisamehe kwa kukwambia ukweli
Asante smooth criminal jina lako linaeleza jinsi ulivyo
 
Back
Top Bottom