Si kila mtu ni wa kumkaribisha nyumbani kwako

Mi nilifikiri utasema kwamba usikaribishe kila mtu sababu wengine ni wezi, wengine wanaweza kumsumbua mkeo, wengine wanaongea sana- watauza siri zako mtaani something like that đź§ .

Kumbe ni mhanga wa Miungu, Mizimu, Dini na viumbe wengine wa kusadikika.
Wezi wa mkeo na mali zako nk
Wanaongozwa na hizo evil spirit wote ni wale wale
 
Epuka kukaribisha kila mtu nyumban kwako au kwenye makazi yako wengi wao huwa na roho chafu.

Umkaribishapo katika makazi yako bila kuijua roho yake.

Vile anavyo maisha yako na jinsi uishivyo hawapendi na hupelekea kuacha roho chafu hizo katika nyumba yako.

Unaweza mkaribisha mtu katika nyumba baada ya yeye kuondoka.

Mafarakano yakaanza baina yako na mke/mume bila sababu au ukaanza kumwa hovyo kila siku hospital. Basi tambua mtu huyo si mzuri.

Au hata katika biashara lazima uyumbe. Pia epuka kwenda kwenye majumba ya watu hovyo.

Baadhi ya watu si wazuri.
utawajuaje kama huyu ana roho chafu au safi? Bibilia inasema karibishaneni ninyi kwa ninyi maana kwa kufanya hivyo mnaweza kuwakaribisha na malaika, akija na roho chafu inabidi aondoke nayo unakubalije akaiacha?
 
Beware of strangers. That's all you were supposed to say instead of just hitting around the bush..
 
utawajuaje kama huyu ana roho chafu au safi? Bibilia inasema karibishaneni ninyi kwa ninyi maana kwa kufanya hivyo mnaweza kuwakaribisha na malaika, akija na roho chafu inabidi aondoke nayo unakubalije akaiacha?
Kutambua huyu ni mwema au mbaya ni ngumu sana
Maombi yanaitajika katika hilo akija na mambo yake basi yamrudie mwenyewe
 
Basi kama unaamini hivyo, wewe wakaribishe, maana unaweza sema huyu simkaribishi sio mwema kumbe ndio mwema, cha msingi izingire nyumba yako kwa damu ya Yesu, ili kama anakuja na matunguli yake ayaache huko huko
 
Back
Top Bottom