realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 3,925
- 8,853
Yes! 😝Maandishi hata mimi ninaweza kuyaandika je hicho kitu unaweza toa uhakika wake katika uhalisia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes! 😝Maandishi hata mimi ninaweza kuyaandika je hicho kitu unaweza toa uhakika wake katika uhalisia?
ThibitishaYes! 😝
KabisaKuna watu Wana macho"mabaya" ,wengine wanajua,wengine hawajijui...ukimpitisha kwenye mifugo yako,balaa litalofuata utajuta. Hii ipo japo watu wanabisha,ni sawa Kuna mtu ukimwambia mipango yako automatic inafeli tu.
Binadamu yyte ana nguvu Fulani ya asili,inaweza kuwa mbaya au nzuri,japo wengi mpaka wanakufa hawaitumii ,hawajui jinsi ya kuiamsha.
Povu tumia kusafisha hiyo roho yako Sawa mzee hivi natoaje uthibitisho kwa umbile lisilo onekanaThibitisha uwepo wa roho ili nijue , na sio kutoa povu kisa umeshindwa kuthibitisha kama hauwezi sioni haja ya kuendelea kuhojiana na wewe ? Sawa binti
UsinichosheUnauthibitisho gani kwa hili? Roho ni kitu gan. ?unaweza thibitisha uwepo wake?
Ushuhuda kidogo basi mpendwa watu wajifunze maana kuna wengine nikupinga tuUnachokisema n kwel 100% klnkuta nyumban kwangu
Pendelea kujifunza kutoka kwa wengine Weka ujinga wako pembeniMoja ya sababu wananchi wengi wa Bongo land hawaendelei ni miroho ya ubinafsi kama hii ambayo inawaza shirki tu. Akuloge nani bwana wewee
ThibitishaTuna tatizo kubwa la afya ya akili , dalili kubwa ni kuhisi kuna watu au vitu vinakufatilia🤔
Sawa hivi katika makuzi yako hukuwai kuona sehemu yoyote katika nyumba fulan au hata kwa.wazazi kuna mgeni akija basi ataingizwa ndaniMfano hapa nyumbani tusipokaribisha wageni hivi vyakula na vinywaji atatumia nani.?
Kuna mipaka ambayo unabidi kujiwekea ikiwemo kutunza privacy zako za kifamilia.
Ila siwezi kumzuia mtu asjie nyumbani kunitembelea I can't do that .
Hizo roho ni illusion tu
(mdanganyo wa hisia ).
Tunaolindwa na Yesu tunakaribisha yeyote na hakuna kitu watafanya!Epuka kukaribisha kila mtu nyumban kwako au kwenye makazi yako wengi wao huwa na roho chafu.
Umkaribishapo katika makazi yako bila kuijua roho yake.
Vile anavyo maisha yako na jinsi uishivyo hawapendi na hupelekea kuacha roho chafu hizo katika nyumba yako.
Unaweza mkaribisha mtu katika nyumba baada ya yeye kuondoka.
Mafarakano yakaanza baina yako na mke/mume bila sababu au ukaanza kumwa hovyo kila siku hospital. Basi tambua mtu huyo si mzuri.
Au hata katika biashara lazima uyumbe. Pia epuka kwenda kwenye majumba ya watu hovyo.
Baadhi ya watu si wazuri.
Sawa hivi katika makuzi yako hukuwai kuona sehemu yoyote katika nyumba fulan au hata kwa.wazazi kuna mgeni akija basi ataingizwa ndani
Na mwingine atatolewa viti nje hukujiuliza kwann
Hapo ndio linakuja suala la si kila mtu ni wa kumkaribisha ndani ya nyumba yako baadhi ya watu wana negative energy mbaya
Ukweli ni upiUONGO
Najua Huwezi amini kama hujapitia hayo ninayo yaelezaNegative energy unaitengeneza wewe mwenyewe na kuiruhusu ikuingilie katika mambo yako na sio mgeni .
Ukiendelea kuwa na fikra Kama hizo utakuwa bonge la masikini katika maisha yako na watoto wako utakaowalea.
Preach positivity achana na Imani za kusadikika.
Mimi kwetu ni sehemu ambayo wageni walikuwa hawakauki hadi Leo tangu nikiwa mdogo hadi sasa nimezeeka Ila mbona sijaona hicho kitu !
Itakuwa nyie mlikuwa mnafanya ulozi kwenu .Sawa hivi katika makuzi yako hukuwai kuona sehemu yoyote katika nyumba fulan au hata kwa.wazazi kuna mgeni akija basi ataingizwa ndani
Na mwingine atatolewa viti nje hukujiuliza kwann
Hapo ndio linakuja suala la si kila mtu ni wa kumkaribisha ndani ya nyumba yako baadhi ya watu wana negative energy mbaya
Hapana usini judge kiasi hicho kwetu hatuna hizo iman za kishirika na hakuna hata mmoja ni wacha mungu vibaya mnoItakuwa nyie mlikuwa mnafanya ulozi kwenu .
Maana mtu mbaya ndo anamjua mbaya mwenzake mchawi anamjua mchawi mwenzake Ila MTU ambaye yupo positive huwa hanwafahamu wabaya Ila anaamini hata wabaya ni sehemu yake.
Kama kwenu mlikuwa mnawafanyia hivyo watu itakuwa nyie mlikuwa mnafanya hayo mambo sio rahisi mtu wa kawaida akajua hayo mambo kuwa huyu afikie ndani na huyo awekewe kiti nje