DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Katika mambo ambayo waswahilo tunafeli ni kuamini katika haya mambo ya kurogwa , vijicho. husda n.kEpuka kukaribisha kila mtu nyumban kwako au kwenye makazi yako wengi wao huwa na roho chafu.
Umkaribishapo katika makazi yako bila kuijua roho yake.
Vile anavyo maisha yako na jinsi uishivyo hawapendi na hupelekea kuacha roho chafu hizo katika nyumba yako.
Unaweza mkaribisha mtu katika nyumba baada ya yeye kuondoka.
Mafarakano yakaanza baina yako na mke/mume bila sababu au ukaanza kumwa hovyo kila siku hospital. Basi tambua mtu huyo si mzuri.
Au hata katika biashara lazima uyumbe. Pia epuka kwenda kwenye majumba ya watu hovyo.
Baadhi ya watu si wazuri.
Nitatoa mifano huu.
Nyumbani kwetu Bukoba kulikuwa na Friend family moja.
Huyu mama alizaa na wanaume watatu tofauti hakuolewa isipokuwa alikuwa akiwalea watoto wake mwenyewe.
She was smart
Hard worker
Miaka ilivyoenda alianza kuamini mambo ya Ndumba , Wivu na CHUKI ndani yake.
Akaanza Kuhisi marafiki zake ni wachawi , akawa hataki kuwatembelea wala kuwa nao closed
Watoto walikuwa vizuri Sana Darasani.
Kweli walisoma wote hadi form four mmoja alipiga degree yake UDSM.
Ila kwa bahati mbaya aliwaambukiza sumu ambayo haifai ambayo ni
Usikaribishe watu
Usiwe karibu na watu
Watu watawaroga
Ndugu marafiki hawafai
N.k
Leo hii wapo wamesoma Ila wamekuwa wanateseka no JOB no connection no network .
So mtoa mada usipokuwa makini hizi akili za kijinga za kusema watu wana roho za machafuko na ujinga mwingine ni bora uwe nazo wewe Ila usiwarithishe watoto wako utawaharibia maisha.