La gioconda
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 471
- 737
1. Wapo baadhi ya mafirauni kazini, au mnayokutana nayo kwenye BURUDANI mapbavu mengine yanayopenda sifa za kutambulisha tambulisha watu au kutafuta sifa za kwenda kumuonyesha maendeleo yake nyumbani huyabeba na kuyapeleka nyumbani. Matokeo yake uligeuka tuu anaanza kukonyeza na kutongoza kuanzia kuku,paka ,mbwa, make na watoto
Mbaya zaidi wanawake Wana katabia Cha asili Cha kujipendekeza kwa wageni..Siku mkiudhiana anaamini yule aliyekukuta naye ndiye rafiki na wandanj wako katika Kila respect kumbe Kila rafiki Kuna vitu vichache vinavyowaunganisha anaenda kutaka usuluisho kwake mwisho wa siku Lile lifirauni linajifanya jema na lizoefu la kubembeleza mwisho wa siku shemeji shemeji huku wazima taa.
Boss epuka kutuma tuma nyumbani kwako subordinate wako na chawa wako ,hapo unavunja na kuharibu nyumba yako.ambo ya kazini,umwinyi uishie kazini yapo mabiss mengine maujinga unakuta wafanyakazi wadogo wa ofisini kawafanga kama ma house boy, dereva wa kazini ndio yupo nyumbani kumpeleka mama sokoni mwisho wa siku unatumza watoto ambao sii wako na watoto unaowasomesha kwa garama wanaambukizwa NGOMA wakiwa wadogo
Hayaja kukutaMh! imani nyengine hovyo!
Umbile lisiloonekana ambalo lipo pamoja na mwili wa binadamu na kuunda malaika wabaya au wazuriRoho ni kitu gani kwanza ?
Bora useme wew mpendwa maana kama halija mkuta mtu hawezi elewaUko sahihi,nimekoma hizi huruma yaani mwanga hata umhurumieje hawanaga shukrani
Pengine una hoja,Epuka kukaribisha kila mtu nyumban kwako au kwenye makazi yako wengi wao huwa na roho chafu.
Na pia tupo zama nyingine kabisa zaman tuliishi kijama bila matatizo lakini kwa sasa watu wamebadilikaMh! imani nyengine hovyo!
Asante smooth criminal jina lako linaeleza jinsi ulivyoNitajuaje kama huyu ana roho chafu na huyu hana? Au nizuie wote tu hakuna kukanyaga nyumban kwangu.
Moja ya hao watu wenye roho chafu ni wewe pia. Nisamehe kwa kukwambia ukweli
ThibitishaUmbile lisiloonekana ambalo lipo pamoja na mwili wa binadamu na kuunda malaika wabaya au wazuri
Pengine una hoja,
Hawa wenye roho chafu, vipi maofisini na sehemu za bishara hawana madhara?
[/QUOTE
Wotee wana madhara na ndio maana unaambiwa wafanyakaz wenzio si marafiki zako
Unataka nidhibitishe nin umbile lisilo onekana auThibitisha