Si kosa la jinai kusafiri na pesa ili mradi tu zisidi USD10,000

Nishapita airport ya Kenya na $35,000 kuna TSA wa Kenya akanikomalia nimpatie hela ya soda nikampa $10 tu. Na hii hela sija declarer kokote

Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
ukiwa umebeba kias zaid ya $10k wakizikamata wanapeleka wap?kwa sababu hawasemagi wakizikamata wanazipeleka wap.
Wanataifisha! na baadhi ya nchi usiponyoosha maelezo vizuri unaweza hata ukapewa kesi ya ugaidi.
 
Nishapita airport ya Kenya na $35,000 kuna TSA wa Kenya akanikomalia nimpatie hela ya soda nikampa $10 tu. Na hii hela sija declarer kokote

Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Ulibahatisha, ni hatari sana kwa fedha zako
 
Back
Top Bottom