S St Lunatics JF-Expert Member Joined Aug 29, 2015 Posts 6,644 Reaction score 11,174 May 29, 2021 #21 Nishapita airport ya Kenya na $35,000 kuna TSA wa Kenya akanikomalia nimpatie hela ya soda nikampa $10 tu. Na hii hela sija declarer kokote Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Nishapita airport ya Kenya na $35,000 kuna TSA wa Kenya akanikomalia nimpatie hela ya soda nikampa $10 tu. Na hii hela sija declarer kokote Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
t blj JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 7,035 Reaction score 16,705 May 29, 2021 #22 joshua_ok said: SI kosa per se. Ila ni lazima ku-declare pale Customs vinginevyo wakikubaini wanaweza kutaifisha Click to expand... Hakika Hata zikiwa zaidi ya 10000 sio kosa ili mradi tu u declare .
joshua_ok said: SI kosa per se. Ila ni lazima ku-declare pale Customs vinginevyo wakikubaini wanaweza kutaifisha Click to expand... Hakika Hata zikiwa zaidi ya 10000 sio kosa ili mradi tu u declare .
t blj JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 7,035 Reaction score 16,705 May 29, 2021 #23 tochi 28 said: ukiwa umebeba kias zaid ya $10k wakizikamata wanapeleka wap?kwa sababu hawasemagi wakizikamata wanazipeleka wap. Click to expand... Wanataifisha! na baadhi ya nchi usiponyoosha maelezo vizuri unaweza hata ukapewa kesi ya ugaidi.
tochi 28 said: ukiwa umebeba kias zaid ya $10k wakizikamata wanapeleka wap?kwa sababu hawasemagi wakizikamata wanazipeleka wap. Click to expand... Wanataifisha! na baadhi ya nchi usiponyoosha maelezo vizuri unaweza hata ukapewa kesi ya ugaidi.
t blj JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 7,035 Reaction score 16,705 May 29, 2021 #24 St Lunatics said: Nishapita airport ya Kenya na $35,000 kuna TSA wa Kenya akanikomalia nimpatie hela ya soda nikampa $10 tu. Na hii hela sija declarer kokote Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957] Click to expand... Ulibahatisha, ni hatari sana kwa fedha zako
St Lunatics said: Nishapita airport ya Kenya na $35,000 kuna TSA wa Kenya akanikomalia nimpatie hela ya soda nikampa $10 tu. Na hii hela sija declarer kokote Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957] Click to expand... Ulibahatisha, ni hatari sana kwa fedha zako