DUBULIHASA JF-Expert Member Joined Nov 26, 2016 Posts 4,446 Reaction score 8,215 Nov 19, 2023 #61 Ukweli ni kwamba ukiamua kum copy mtu hakikisha unafanya kwa kiwango cha juu sana,,,, mfano umeamua kucheza football kwa style ya Messi we unadhan utafika mbali kweli? Sasa huyu dg kila siku kum copy simba tu
Ukweli ni kwamba ukiamua kum copy mtu hakikisha unafanya kwa kiwango cha juu sana,,,, mfano umeamua kucheza football kwa style ya Messi we unadhan utafika mbali kweli? Sasa huyu dg kila siku kum copy simba tu
Kanyigoboy JF-Expert Member Joined Feb 14, 2017 Posts 529 Reaction score 1,316 Nov 19, 2023 #62 Na kwa mtazamo wangu icho ndio unatamani kimkute na haitakuwa as long ana kipaji ataendelea mbele tuache kutabiliana mabaya kmmk
Na kwa mtazamo wangu icho ndio unatamani kimkute na haitakuwa as long ana kipaji ataendelea mbele tuache kutabiliana mabaya kmmk
Wakuperuzi JF-Expert Member Joined Mar 31, 2023 Posts 2,348 Reaction score 5,841 Nov 19, 2023 #63 OscarkambonaJr said: Juzi tu katwaa Tuzo 3 USA Click to expand... Safi sana
saleni JF-Expert Member Joined Apr 6, 2019 Posts 1,880 Reaction score 2,843 Nov 19, 2023 #64 Unique Flower said: Wivu mbona Amepata tuzo 3 hizo ni za nini za kujaza misuli Click to expand... Na boss wake wa zamani kampongeza kiroho Safi.
Unique Flower said: Wivu mbona Amepata tuzo 3 hizo ni za nini za kujaza misuli Click to expand... Na boss wake wa zamani kampongeza kiroho Safi.