Si kwa ubaya lakini naona anguko la Harmonize

Si kwa ubaya lakini naona anguko la Harmonize

Ukweli ni kwamba ukiamua kum copy mtu hakikisha unafanya kwa kiwango cha juu sana,,,, mfano umeamua kucheza football kwa style ya Messi we unadhan utafika mbali kweli?

Sasa huyu dg kila siku kum copy simba tu
 
Na kwa mtazamo wangu icho ndio unatamani kimkute na haitakuwa as long ana kipaji ataendelea mbele tuache kutabiliana mabaya kmmk
 
Back
Top Bottom