Si kwamba vyama vya upinzani ni bora zaidi, lakini ni muhimu Watanzania kuiondoa CCM madarakani to teach the Police a lesson

Synthesizer

Platinum Member
Joined
Feb 15, 2010
Posts
12,699
Reaction score
22,598
Watu wengi wamekuwa wakivitazama vyama vya upinzani katika mtazamo wa kuwa mbadala wa CCM katika uongozi, na wengi wanasema kwamba bado havijakomaa kuongoza nchi, jambo ambalo siku zote nasema, tulipopata uhuru TANU haikuwa imekomaa kuongoza nchi.

Sasa mimi naona kama imefikia mahali jeshi la Polisi halijui wajibu wao na wamefikia mahali wanakubali kuendeshwa na wanasiasa wa CCM kama ng'ombe anaevutwa kwa kutumia pete ya puani. Nadhani ni wakati muafaka kwa Watanzania kudhamiria kuwaondoa CCM madarakani, si kwa sababu labda chama fulani cha siasa ni mbadala mzuri, bali kwa ajili ya "to teach the Police force and other security organs in the country a lesson" katika kutambua wajibu wao na kuutekeleza nje ya ulingo wa kisiasa.

Na itafurahisha sana kama CCM wakielewa kwamba walitolewa madarakani kwa sababu za kulifanya jeshi la polisi na vyombo vingine vya usalama kama watumishi wao binafsi, na sio watumshi wa umma wa Watanzania
 
Hizi kilele tangu 1995 zinapigwa na hakuna chocjote kimefanyika
 
.
20240811_145728.jpg
 
Bila kukimbia na mabox ya kura na kujaza policeccm vituoni,ccm ingekua imebaki jina tu
 
Bila machafuko ama mapinduzi ya kijeshi, mabadaliko tutayasikia tu kwa wenzetu.

Wote tukisimama kwenye mtazamo huu haitachukua siku nyingi kuitoa CCM madarakani na kuleta mapinduzi ya kiraia.

Hii nchi inahitaji mapinduzi yawe ya kijeshi au kiraia lakini yawe mapinduzi.
Hakuna mfumo rasmi unaweza kuitoa CCM madarakani maana inamizizi Kila mahala.
 
Badiliko Tanzania ni muhimu sana, na ni kweli historia inaonyesha nchi bila kupitia msukosuko viongozi wanajisahau sana wanakosa uzalendo halisi nawanakaa katika nafasi zao kujinufaisha tu. Mataifa kama Germany, Japan, Italy, China nk yaliendelea kwa kasi kutokana na magumu waliyopitia. Sasa Tanzania, nchi ambayo siku zote imeona amani, tumebweteka sana
 
Back
Top Bottom