Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi naongelea tweet ya Magu wao wananiletea tweet ya chama.Hiki chama kinatumia VPN ya Beberu kufika twitter.
Ududumu Beberu baba.
Kwani ashakabidhiwa hati ya Ushindi Hadi atoe shukrani?Magu mwenyewe vipi?Kumbuka naongelea hao individuals ,hilo la chama tunalitarajia kwahiyo sio ajabu.
Ina maana ccm wana ruhusiwa kutumia tweeter ila sisi wengine tumefungiwa?Hii ni tweet ya account rasmi ya CCM. Account ambayo ipo verified. Au mwenzetu una makengeza?
View attachment 1616465
Kilaza wewe.Tofautisha chama na mgombea mwenyewe.Unazid kuniaminisha kuwa unaupungufu wa Akil
Bado ana maruweruwe, hajaamini kitu kilichompiga ktk uchaguzi huu...Anasema ya magu au polipoli
Hama haja na ya sisiemu
Blaza agizia lori la ndimu uendelee kulambaKama nilivyosema katika uzi wangu wa asubuhi ya leo,mpaka muda huu viongozi hawa wako kimya kabisa licha ya Magufuli kutangazwa mshindi wa kitu cha urais.
Inawezekana chama kinajiandaa kutoa tamko rasmi wakati wowote ule, ila bado nilitarajia kutokana na furaha ya ushindi, mmoja wa viongozi hawa angeshasema lolote kupitia mitandao na hasa mtandao wa Twitter kuhusu ushindi huu wa asilimia zaidi ya 80 ila cha ajabu wako kimya kabisa.
Ni vijana wao wa mitandaoni tu wakiwemo kina Pascal Mayalla ndio wanaojikakamua kusherekea na kusifu na kukejeli wapinzani ila wenye chama mpaka sasa kimya utadhani wao ndio wametangazwa kushindwa.
Anyway,labda nao wao hawana access na internet ndio maana wako kimya.
All in all, hii ni dalili kuwa hata wenyewe hawana raha na matokeo haya na huenda hawakutarajia mambo yangeenda yalivyoenda.
Tunawasubiri mjikaze kutoa taarifa ya ushindi na kupongezana.
Wewe ni kilaza tu, mbona lissu hajapost kuomba huruma kwa wananchi?Kilaza wewe.Tofautisha chama na mgombea mwenyewe.
Mbona unapaniki?Wewe ni kilaza tu, mbona lissu hajapost kuomba huruma kwa wananchi?
Una maruweruwe bado...
Mkuu inawezekana kufungwa kwa mtandao nao imekula kwao.yaani no inasomwa na wote.Kama nilivyosema katika uzi wangu wa asubuhi ya leo,mpaka muda huu viongozi hawa wako kimya kabisa licha ya Magufuli kutangazwa mshindi wa kitu cha urais.
Inawezekana chama kinajiandaa kutoa tamko rasmi wakati wowote ule, ila bado nilitarajia kutokana na furaha ya ushindi, mmoja wa viongozi hawa angeshasema lolote kupitia mitandao na hasa mtandao wa Twitter kuhusu ushindi huu wa asilimia zaidi ya 80 ila cha ajabu wako kimya kabisa.
Ni vijana wao wa mitandaoni tu wakiwemo kina Pascal Mayalla ndio wanaojikakamua kusherekea na kusifu na kukejeli wapinzani ila wenye chama mpaka sasa kimya utadhani wao ndio wametangazwa kushindwa.
Anyway,labda nao wao hawana access na internet ndio maana wako kimya.
All in all, hii ni dalili kuwa hata wenyewe hawana raha na matokeo haya na huenda hawakutarajia mambo yangeenda yalivyoenda.
Tunawasubiri mjikaze kutoa taarifa ya ushindi na kupongezana.
Tweet ya Magu inakuhusu nn Bavicha wewe?Mimi naongelea tweet ya Magu wao wananiletea tweet ya chama.
Napaniki vipi na dozi ya asilimia 84 ya ushindi wa rais?Mbona unapaniki?
Tunafahamu mnataka aongee kitu kule twitter halafu mje kujibu yale maneno yenu.Mimi naongelea tweet ya Magu wao wananiletea tweet ya chama.
Mimi naongelea tweet ya Magu wao wananiletea tweet ya chama.
fOLLOW accounts zao halisi, utaona tweets zao.Magu mwenyewe vipi?Kumbuka naongelea hao individuals ,hilo la chama tunalitarajia kwahiyo sio ajabu.