Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
- Thread starter
-
- #61
Kasome jinsi Hussein Bashe alivyoshambuliwa baada ya kuandika tweet ya kumpongeza Magu na kusema miaka mingine mitano kwa Magu.Mkuu ukweli wa walichokifanya ili kupora uchaguzi wanakijua sana ndiyo sababu wamepiga kimya wahuni hawa.
Kasome jinsi Hussein Bashe alivyoshambuliwa baada ya kuandika tweet ya kumpongeza Magu na kusema miaka mingine mitano kwa Magu.
Nlishauri watu wanakaa karibu na salary slip wawe nae makini maana huyu jamaa anaweza kujinyongaWe utakufa kwa presha kabla ya 2025.
Mwaka huu tunawaarifu mtajipanga nyie...mwaka huu mmejimaliza na hamtafutuka tena CCM!Wewe jamaa upuuzi sana...
Jipange kwa 2025 tena...
🤣🤣🤣🤣
Mtu wa mwisho kushukuriwa ni wewe. Polepole alikuwa live kwa wananchi wa Tanzania na Wana CCM:Kama nilivyosema katika uzi wangu wa asubuhi ya leo,mpaka muda huu viongozi hawa wako kimya kabisa licha ya Magufuli kutangazwa mshindi wa kitu cha urais.
Inawezekana chama kinajiandaa kutoa tamko rasmi wakati wowote ule, ila bado nilitarajia kutokana na furaha ya ushindi, mmoja wa viongozi hawa angeshasema lolote kupitia mitandao na hasa mtandao wa Twitter kuhusu ushindi huu wa asilimia zaidi ya 80 ila cha ajabu wako kimya kabisa.
Ni vijana wao wa mitandaoni tu wakiwemo kina Pascal Mayalla ndio wanaojikakamua kusherekea na kusifu na kukejeli wapinzani ila wenye chama mpaka sasa kimya utadhani wao ndio wametangazwa kushindwa.
Anyway,labda nao wao hawana access na internet ndio maana wako kimya.
All in all, hii ni dalili kuwa hata wenyewe hawana raha na matokeo haya na huenda hawakutarajia mambo yangeenda yalivyoenda.
Tunawasubiri mjikaze kutoa taarifa ya ushindi na kupongezana.Nasubiri tweet ya Mwenyekiti (Mgombea)na Polepole.
Alisikika bavicha mmoja mwenye ubungo uko upside down na nati zimelegea...Mwaka huu tunawaarifu mtajipanga nyie...mwaka huu mmejimaliza na hamtafutuka tena CCM!
Jamaa anaonyesha dalili zote za suicide...Nlishauri watu wanakaa karibu na salary slip wawe nae makini maana huyu jamaa anaweza kujinyonga
Hii ni tweet ya account rasmi ya CCM. Account ambayo ipo verified. Au mwenzetu una makengeza?
View attachment 1616465
Hii ni tweet ya account rasmi ya CCM. Account ambayo ipo verified. Au mwenzetu una makengeza?
View attachment 1616465
Hii ni tweet ya account rasmi ya CCM. Account ambayo ipo verified. Au mwenzetu una makengeza?
View attachment 1616465