Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule mzee simpendi sijui huwa kuna nani nyuma yake?Manji akiibuka anaye huyu. Tatizo la simba wajanjawajanja wako
wengi. Sisi kule mjanja wetu ni mzee Akilimali, akishushiwa gunia la viazi anatulia.
leo hakutia pua yakeYule mzee simpendi sijui huwa kuna nani nyuma yake?
Hao watu si wa kucheza Simba hii ya mashindano..umri wao usingekuwa mkubwa walistahili kushiriki yale mashindano yanayoendelea kule UDOM.Mkuu Kaheza, Salamba na Mo aliyetoka Prisons bora kina Mavugo
Yanga waliwazuga na hata huyo Mo wa Prison walimuongelea mkaja kichwa kichwa kumbeba..Yanga wako kwenye rada za Djako,Koupko,Kagere nkUyu salamba alikuwa wa kuchukuliwa na Yanga isiyokuwa na hela sio Simba
povuKama ilivyo ya ' Mamaako ' pia.
huna akili wewe,sasa mama hapo ndio aliyekujibu...'PUNGUONE' WEEEEEEEEEEEEEEEEEEKama ilivyo ya ' Mamaako ' pia.
GENTAMYCINE wewe ni mchawi katika soka nimekuvulia kofia,huweki ushabiki mbele ila unachambua na kutafakari kila hatua inayopitia timu. wewe ni zaidi ya katibu mkuu wa simba.
pia suala la professionalism leo nimeliona. huyu kocha wa kogelo ni Kerr ambaye tulimtimua kwa aibu akiwa simba lakini leo hii anabeba ndoo ya pili ya sportpesa,kawapa ubingwa wa ligi na timu ipo makundi bila shaka watapita wao na USM Algier katika kundi lao. Kerr huyu huyu anaipeleka robo fainali ya caf gor mahia wakati kwetu simba tulimuona hafai.
mpira wetu wa mdomoni kamwe hatutaendelea.
Mkuu kwanini tusimchukue yule kijana Elias Maguli?
MKUU ,KWAKWELI TOKA ULE UZI WAKO WAJUZI NAONA MAMBO YANAZIDI KUPINDA.
LEO NINAHASIRA KINYAMA...HUYU ****** MASUDI ANA MAJUNGU...NAHAJAWAH HATA KUIFADISHA TIMU..***** ZAKE.
TUMEPOTEZA EXPOSURE ISOKUJA KUSAHAULIKA YANI
Uongozi wa Simba hauna malengo kabisa ya kimataifa, hivi kweli salamba uyu kweli wakusajiliwa simba, mechi ya leo bora pale mbele wangemuweka mavugo uyo salamba hajui hata anachotakiwa kufanya pale
Uyu salamba alikuwa wa kuchukuliwa na Yanga isiyokuwa na hela sio Simba
Hivi mleta mada huwa ni me au ke?
Mmmh huu uchonganishi sasa
Kocha Mzungu hajafukuzwa, ni kwamba mkataba wake aliosaini kuitumikia Simba sc, imekwishwa.
Alisaini mkataba wa kuitumikia Simba sc kwa miezi sita tu.
Nayo imeisha.
Sasa mwenzetu nani kakuambia kuwa amefukuzwa ?
Majungu sio mazuri.