Si mmejifanya kumfukuza Pierre Lechantre kwa Majungu sasa Masoud Djuma laana inamuanzia huko Nakuru

Si mmejifanya kumfukuza Pierre Lechantre kwa Majungu sasa Masoud Djuma laana inamuanzia huko Nakuru

Manji akiibuka anaye huyu. Tatizo la simba wajanjawajanja wako
wengi. Sisi kule mjanja wetu ni mzee Akilimali, akishushiwa gunia la viazi anatulia.
Yule mzee simpendi sijui huwa kuna nani nyuma yake?
 
Simba hawana hela ya kumlipa Lechantre , mengineyo ni story za vijiweni.

Vv
 
1. Huyu kocha wa gor nasikia aliwahi kufundisha timu moja hapa bogo wakamtimua kuwa hana kiwango

2. Huyu mchezaji aliyechachafya timu zote za bongo MARIA MAGERE nasikia aliwahi kucheza timu moja hapa bongo wakamtimua eti hana kiwango
 
Uyu salamba alikuwa wa kuchukuliwa na Yanga isiyokuwa na hela sio Simba
Yanga waliwazuga na hata huyo Mo wa Prison walimuongelea mkaja kichwa kichwa kumbeba..Yanga wako kwenye rada za Djako,Koupko,Kagere nk
 
GENTAMYCINE wewe ni mchawi katika soka nimekuvulia kofia,huweki ushabiki mbele ila unachambua na kutafakari kila hatua inayopitia timu. wewe ni zaidi ya katibu mkuu wa simba.
pia suala la professionalism leo nimeliona. huyu kocha wa kogelo ni Kerr ambaye tulimtimua kwa aibu akiwa simba lakini leo hii anabeba ndoo ya pili ya sportpesa,kawapa ubingwa wa ligi na timu ipo makundi bila shaka watapita wao na USM Algier katika kundi lao. Kerr huyu huyu anaipeleka robo fainali ya caf gor mahia wakati kwetu simba tulimuona hafai.
mpira wetu wa mdomoni kamwe hatutaendelea.

Ahsante na Shukran kwa ' Credits ' zako ' zilizotukuka ' kabisa Kwangu Mkuu na nimezipokea kwa mkono mmoja na umenipa moyo na nguvu zaidi. Ni kweli wala hujakosea Mkuu Mimi ni Simba SC ' damudamu ' na huko nyuma nilishawahi hata kupoteza ' Usingizi ' wangu wa siku mbili na kuhatarisha maisha yangu kwa ajili tu ya Kuipigania Uwanja tena pale ' Shamba la Bibi ' siku 2 kabla ya mechi na Yanga SC na tuliwafunga vile kupitia Athuman Machupa.

Ila kwenye ukweli nanyoosha tu Mkuu bila ' unafiki ' wala ' uwoga '. Simba SC nadhani ' tumelaaniwa ' kwa kutokuwa na roho ya uvumilivu wa kukaa na Makocha wa Kizungu ambao huwa tunawapata na hapa ndipo Wakenya wanapotuzidi na matokeo yake sasa tunayaona.

Ni huyu huyu Kocha wa Gor Mahia alidhihakiwa na kufukuzwa tena kwa ' dharau ' sana Msimbazi lakini angalia sasa ana msimu wa pili huko Kenya na ameweza kuifanya timu ya wana ' Kogelo ' ( namaanisha Gor Mahia ) kufanya vyema na kuwa ' tishio ' katika Ukanda wetu huu.

Nakuhakikishia leo hapa hapa kwamba hata katika Kombe hili la Kagame linalokuja Gor Mahia wanalibeba na kuna Watu ' Wapuuzi ' nimewasikia wakijitetea kwamba eti Simba SC leo tumefungwa kwakuwa sijui akina Okwi, Boko, Kwasi, Kotei na Gyan hawapo ila Mimi nawaambia kwa jinsi Gor Mahia walivyo vizuri technically and physically hata kama leo Wachezaji hawa wangekuwepo tungefungwa tu kwani ilikuwa hamna namna. Simba SC tulizidiwa kila idara na tukubali tu kuwa Timu yetu bado na tunahitaji kujipanga kikwelikweli na siyo tu ' blah blah blah ' za Kiswahili.

Kuachana na Kocha Pierre Lechantre Simba SC tumefanya Kosa kubwa sana na ipo siku tutamkumbuka huyu Mfaransa. Bahati nzuri nina ukaribu na baadhi ya ' Senior Players ' wa Simba SC na nisiwaficheni hata Wao wamesikitika mno kuondoka kwa Lechantre kwani wanasema kwa muda mfupi aliweza kuwajenga na kuwapa mbinu za Kimataifa kabisa na ndiyo maana hata ile juzi baada ya kuwatoa Kakamega Wachezaji wengi wa Simba SC walimfuata Kocha Lechantre na yule wa Viungo Habib juu kule na kumkumbatia sana kitendo ambacho mnaambiwa Kocha wenu ' Mnafiki ' Mburundi Masoud Djuma Irambona hakupendezwa nacho kabisa.
 
Mkuu kwanini tusimchukue yule kijana Elias Maguli?

Wajumbe wako wa Kamati ya Utendaji wakiongozwa na mmoja wao ambaye ni ' Shoga ' wa Kujificha hawataki Wachezaji ambao hawakati ' ganji ' ( namaanisha hawatoi 10% zao za Posho, Mishahara na Usajili ) na Elias Maguri ( Poti wangu kutoka Mkoani Mara ) ujinga huu hautaki.
 
MKUU ,KWAKWELI TOKA ULE UZI WAKO WAJUZI NAONA MAMBO YANAZIDI KUPINDA.

LEO NINAHASIRA KINYAMA...HUYU ****** MASUDI ANA MAJUNGU...NAHAJAWAH HATA KUIFADISHA TIMU..***** ZAKE.

TUMEPOTEZA EXPOSURE ISOKUJA KUSAHAULIKA YANI

Ahsante kwa kunielewa Mkuu kwani wanaomuelewa GENTAMYCINE kama Wewe huwa ni wachache sana halafu hata IQ zao nazo huwa ni za juu mno kama siyo sana. Sasa ili uone huyu Kocha wenu wa ' hovyo hovyo ' Masoud Djuma Irambona ni mbabaishaji na hana lolote leo ndani ya dakika 8 kafanya ' Substitution ' Nne halafu zote zilikuwa mbaya na zisizo na faida hadi mwishowe sasa akawa anajifanya kumtupia lawama Mwamuzi ambaye binafsi sijaona kama leo ametuuma Simba SC ila Simba SC tumefungwa hasa ' Kiufundi ' huku pia ' Nidhamu ' ya Wachezaji wetu karibia wote waliocheza leo ikiwa ni ya chini chini mno. Hakuna Kocha hapo tusidanganyane tafadhali!
 
Uongozi wa Simba hauna malengo kabisa ya kimataifa, hivi kweli salamba uyu kweli wakusajiliwa simba, mechi ya leo bora pale mbele wangemuweka mavugo uyo salamba hajui hata anachotakiwa kufanya pale

Nilionya mapema sana humu tena hadi nikaanzisha ' Uzi ' wa kumtaka Mohamed Mo Dewji asikubali kupoteza Pesa yake kuwasajili akina Salamba na Kaheza kuna ' Wapuuzi ' fulani wakanidhihaki na hawakunielewa sasa nadhani kwa hizi mechi mbili mbili ambazo wote wamecheza watakuwa wamegundua kile ambacho GENTAMYCINE nilikuwa nakikataa na kukipigia kelele kuhusu wao. Ni Wachezaji wazuri kwa kuchezea Timu kama za Mbao FC au Ndanda FC lakini siyo Wachezaji wa kuweza kuichezea na hata kuisaidia Simba SC kwa michuano yoyote ile kwani hawafai na nadiriki kusema hapa hapa rasmi kwamba Mo Dewji hela yake kwa hawa Wachezaji ahesabu tu kwamba amepoteza na kama kawaida ' Wajanja ' wa 10% wameshachukua chao na maisha yao yanaenda hapa mjini.
 
Uyu salamba alikuwa wa kuchukuliwa na Yanga isiyokuwa na hela sio Simba

Napenda Watu wanaojua mpira kama Wewe Mkuu. Heko sana kwa kuwa na ' jicho ' pana na ' pevu ' katika Soka / Kandanda.
 
Hivi mleta mada huwa ni me au ke?

' Mamaako ' ananijua zaidi kwakuwa huwa nakuwa nae ' faragha ' mara kwa mara. Ni vyema ukamuuliza Yeye ili akutaarifu kuwa hata Mimi pia ni Baba yako mdogo na muda wowote naweza kuwa Baba yako pale atakapomwacha / atakapomtema Baba yako.
 
Mmmh huu uchonganishi sasa

Wala usijali Mkuu nimeshampa ' dozi ' zake kwani alichokuwa akikitafuta Kwangu ameshakipata hivyo bila shaka kuanzia sasa atakuwa na adabu zote na hii ' Brand ID ' iliyotukuka kabisa. Alikuwa analilia ' Wembe ' sasa nimeshampa ili ahangaike nao na umkate vizuri.
 
Kocha Mzungu hajafukuzwa, ni kwamba mkataba wake aliosaini kuitumikia Simba sc, imekwishwa.
Alisaini mkataba wa kuitumikia Simba sc kwa miezi sita tu.
Nayo imeisha.
Sasa mwenzetu nani kakuambia kuwa amefukuzwa ?
Majungu sio mazuri.

Huna unachokijua ' Mpuuzi ' Wewe na kwa taarifa yako kama kuna Mtu ambaye taarifa zote za ndani za Simba SC zinazoendelea huwa nazipata mapema, haraka na kwa usahihi basi miongoni mwao ni Mimi. Katika Kikosi chako cha Kwanza unachokitegemea cha Simba SC nina Wachezaji Marafiki zangu Wanne ambao panga pangua huwa hawakosi namba na ukiachia huko kwa Wachezaji katika Uongozi wako kuna Kiongozi wako mmoja wa juu kabisa ( ana Mguu mfupi / soni ) ni Rafiki yangu wa karibu tokea tukiwa tunatizama wote mpira hapo ' Kilingeni ' Kwetu Jukwaa la VIP B ambapo huwa anapenda sana kukaa Shabiki mmoja maarufu sana wa Simba SC anaitwa Rashid au Chidy bila kuwasahau akina Mzee Kisoky, Juma Mnonji na Mzee mwingine ambaye yuko ' Task Force ' ya Polisi Makao Makuu ( jina nalihifadhi Kimaadili ) pamoja na Wajumbe wako wawili wa Kamati ya Utendaji na hakuna ambacho huwa wananificha cha kuihusu Klabu yako ya Simba.

au sasa katika kukudhihirishia kuwa Wewe bado ni mtoto mdogo sana Kwangu na katika kuyajua ya Simba SC nikupe taarifa ambayo nimetoka tu ' Kupenyezewa ' sasa hivi na mmoja wa Wachezaji wako nini kimetokea baada ya Timu kutoka pale Uwanjani walipokabidhiwa zile Medali zao?

Tuache wenye Simba SC tukufunulie usiyoyajua ili ujifunze na uhabarike zaidi.
 
Back
Top Bottom