Si mtu mweusi bali mwarabu alipeleka ustaarabu ulaya

Si mtu mweusi bali mwarabu alipeleka ustaarabu ulaya

kalipeni

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
1,571
Reaction score
1,328
nawasalimu jf members, kuna mwanajamvi alitoa uzi usemao mtu mweusi ndie alipeleka ustaarabu ulaya na asia, iyo si kweli bali kuanza kuhubiriwa kwa dini ya kiislam na mtume muhamad 7century kulipelekea mwaka 708 kundi la waarabu kuingia north africa morocco lengo likiwa kueneza dini na ustaarabu wao dunia yote, watu wa north africa wakawapokea waarabu na kukubali kiarabu kua lugha yao na uislam kua dini yao.
mwaka 711 AD chini ya kamanda wa kiarabu tarik ibn zayid (gilbral) likaundwa jeshi (moorish army) lipatako watu 7000, watu weusi 6700 (watu wa north afrika walikua weusi) na waarabu 300 na safari ya kwenda ulaya ikaanza wakapita iberian peninsula kwenye mlima mkubwa wa mawe na hadi leo mlima huo unaitwa tarik mountains (gilbrater), kiarabu wanaita jabal eltarik yote yakisanifu jina la tarik ibn ziyad. baada ya kukanyaga ardhi ya spain tarik akaamuru boti zao zote zichomwe moto lengo likiwa ata yakizuka mapigano washindwe kurudi nyuma wapigane adi kufa ili azma yao ya kupeleka dini itimie. INAENDELEA
 
Nikweli kabisa kipindi china wanagundua rocket za mishale na uarabuni wanagundua dawa za kisasa kwa magonjwa mbalimbali..bara la ulaya walikuwa wapo zama za merlini na harry porter whichcraft and wizard...mtu kipindihicho ulaya alikuwa anaheshimika kutokana na uchawi wake..mfano palikuwa na mtu anaitwa gorndofu the gray, gorgon medussa, dracular, frakinsteirn na wengineo walikuwa primitive kweli kweli.
 
Katika historia ya tiba, wa Japan ndiyo walianza tiba ya upasuaji. Waliweza kumpa mgonjwa dawa zao za asili na akalala na kupoteza fahamu mpaka upasuaji kukamilika.

Wahindi waliweka bangi kwenye chetezo Huku walimpa mgonjwa pombe mpaka anapoteza fahamu ndipo wanamfanyia upasuaji.

Waarabu walikuwa na break through ya utumiaji wa opium ambao mpaka leo unatumika kama anaesthetic
 
Endelea kutupa mamboz

Wachina wa kwanza kwenye Bunduki lakini ilikuwa Kubwa SMG ilianzia kwao

Mashariki ya kati ndo wameanza kusafiri kwenda mbali kwa kutumia Ngalawa
 
Mwarabu ndie alieleta ustarabu hata chakula kizuri tumejifunza kutoka kwa mwarabu. Mzungu zake brabra tuu. Mtu mweusi aliminywa sana ndio maana utamaduni wake haukuenea duniani.
 
(moorish army) lipatako watu 7000, watu weusi 6700 (watu wa north afrika walikua weusi) na waarabu 300 na safari ya kwenda ulaya
Sasa unaposema si mtu mweusi ni Mwarabu unamaanisha nini?mwarabu mwenyewe hajui hata maana ya neno ARAB.
 
warabu walitawala spain kwa muda mrefu baadae wakatawala part of france na scotland, walijenga misikiti mikubwa zaidi ya 700 spain, majengo mazuri kama alhambra kwa wakati huo yalikua na bustani, barabara nzuri, ulikua na uwezo wa kutembea usiku maili zaidi ya10 bila kukuta giza ambapo ilichukua handred of years kwa jiji kama london kua na hata taa1 barabarani na paris kua na levo izo. jiji kama coldova lilijengwa na mwarabu karne ya 10, mwarabu ndiye alipeleka utamaduni wa kuoga kwenye mabafu na kuoga kwa sabuni ulaya, vazi la chupi ka-introduce mwarabu ulaya kabla ya apo wazungu walikua wakioga ovyo tu taka mwili zilisambaa kila kona.
 
Mwarabu aliiga mambo mengi kutoka India Persia na Afrika na kuyafanya ni ustaarabu wake,kusema ukweli kabisa Mwarabu ni mtaalamu wa kusuka mahema.
 
Sasa unaposema si mtu mweusi ni Mwarabu unamaanisha nini?mwarabu mwenyewe hajui hata maana ya neno ARAB.
ielewe mada mkuu, kuna watu wanasema weusi ndio tulienda ku-civilize europe iyo si kweli kwakua hakuna ata chembe ya utamaduni wetu tulioupeleka ila baada ya mwarabu kuja kwetu afrika na kutupa utamaduni wake na dini yake yeye, ndio akatubeba wafrika adi ulaya na tulichoeneza kule ni utamaduni wa mwarabu na dini ya kiislam tu, ata kina mansa kankan musa na empire kama ghana, mali, songhai ziliendelea kutokana na tamaduni ya mwarabu na uislamu.
kwani baada ya kina mansa musa na wengine kutoka hija meca ndio wakaja na idea za maendeleo kutoka kwa warabu na vyuo kama timbuktu kujengwa.
 
Mwarabu aliiga mambo mengi kutoka India Persia na Afrika na kuyafanya ni ustaarabu wake,kusema ukweli kabisa Mwarabu ni mtaalamu wa kusuka mahema.
mambo gani aliyoiga kutoka africa, tujuze mkuu.
 
images (34).jpg
 
Mwarabu peke yake kama mwarabu hajawahi kushinda vita dhidi ya afrika na mataifa mengine.
 
Muanzilishi wa dini ya mungu mmoja ni muafrika ambaye ni Farao Akhenaton,sio mwarabu.
 
nawasalimu jf members, kuna mwanajamvi alitoa uzi usemao mtu mweusi ndie alipeleka ustaarabu ulaya na asia, iyo si kweli bali kuanza kuhubiriwa kwa dini ya kiislam na mtume muhamad 7century kulipelekea mwaka 708 kundi la waarabu kuingia north africa morocco lengo likiwa kueneza dini na ustaarabu wao dunia yote, watu wa north africa wakawapokea waarabu na kukubali kiarabu kua lugha yao na uislam kua dini yao.
mwaka 711 AD chini ya kamanda wa kiarabu tarik ibn zayid (gilbral) likaundwa jeshi (moorish army) lipatako watu 7000, watu weusi 6700 (watu wa north afrika walikua weusi) na waarabu 300 na safari ya kwenda ulaya ikaanza wakapita iberian peninsula kwenye mlima mkubwa wa mawe na hadi leo mlima huo unaitwa tarik mountains (gilbrater), kiarabu wanaita jabal eltarik yote yakisanifu jina la tarik ibn ziyad. baada ya kukanyaga ardhi ya spain tarik akaamuru boti zao zote zichomwe moto lengo likiwa ata yakizuka mapigano washindwe kurudi nyuma wapigane adi kufa ili azma yao ya kupeleka dini itimie. INAENDELEA
Si hawa ndio waliozuiliwa kijeshi na wasiendelee na Charles Martel mwaka 722 AD kusini mwa Ufaransa? Sasa walipeleka ustaarabu gani Ulaya? Hawa Waarabu walijistawisha Afrika Kaskazini tu.
 
Back
Top Bottom