kalipeni
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 1,571
- 1,328
nawasalimu jf members, kuna mwanajamvi alitoa uzi usemao mtu mweusi ndie alipeleka ustaarabu ulaya na asia, iyo si kweli bali kuanza kuhubiriwa kwa dini ya kiislam na mtume muhamad 7century kulipelekea mwaka 708 kundi la waarabu kuingia north africa morocco lengo likiwa kueneza dini na ustaarabu wao dunia yote, watu wa north africa wakawapokea waarabu na kukubali kiarabu kua lugha yao na uislam kua dini yao.
mwaka 711 AD chini ya kamanda wa kiarabu tarik ibn zayid (gilbral) likaundwa jeshi (moorish army) lipatako watu 7000, watu weusi 6700 (watu wa north afrika walikua weusi) na waarabu 300 na safari ya kwenda ulaya ikaanza wakapita iberian peninsula kwenye mlima mkubwa wa mawe na hadi leo mlima huo unaitwa tarik mountains (gilbrater), kiarabu wanaita jabal eltarik yote yakisanifu jina la tarik ibn ziyad. baada ya kukanyaga ardhi ya spain tarik akaamuru boti zao zote zichomwe moto lengo likiwa ata yakizuka mapigano washindwe kurudi nyuma wapigane adi kufa ili azma yao ya kupeleka dini itimie. INAENDELEA