Si mtu mweusi bali mwarabu alipeleka ustaarabu ulaya

Si mtu mweusi bali mwarabu alipeleka ustaarabu ulaya

tafuta sababu iliyowakimbiza european christian, adi kutafuta root ya kwenda india kwa kuzunguka afrika maana kabla ya apo walikua wanapita njia ya ardhi kupitia uturuki adi india kichapo walichokua wanakipata kutoka kwa mwarabu kilikua hatari.
Waarabu kama waarabu hawajawahi kushinda vita,kwanza tuanze kumjadili Mwarabu ni mtu gani,Assyrians sio waarabu anatolians sio waarabu kurds sio waarabu berbers sio waarabu.waarabu ni "parasites"wanaingia kwenye jamii nyingine na kuiba historia za watu na kujifanya za kwao mimi nataka tumjadili mwarabu ni nani? asili yake ni wapi?
 
images (35).jpg

Ujenzi wa aina hii asili yake ni india na persia sio arabia TAJ MAHAL INDIA.
 
Usiamini kila kilichopo katika google. Ukweli ni moja tu, kwamba wenzetu wazungu wametangulia kuzinduka katika katika masuala ya maendeleo. Sisi tunapambana ku copy na ku paste.
Hoja ilyopo mezani siyo maendeleo, hoja ni nani amempa nani ustaarabu. Zama kwenye hoja husika, tueleze unachojua. Kuhusu maendeleo ni hoja nyingine. Na hiiyo haina maana ukimfundisha mtu maarifa pia lazima umzidi kiuchumi.
 
wewe umpe mwenzako ustaarabu yeye akiwa uchi then yeye aanze kuvaa nguo na wewe uje kuwa uchi hadi aje akupe tena ustaarabu wa kuvaa nguo. Haiyo kali sana. Haiwajawahi kutokea na kamwe haitatokea chini ya jua.
 
Kumbuka Afrika ni Continent, kama kuna sehemu walikuwa wanatembea Uchi sehemu nyingine walikuwa na empire's. Na sehemu nyingine walikuwa wanafua v yuma, mfano unafaham kuwa Uganda walikuwa wanafua vyuma kabla ya kuja wazungu?
 
Hoja ilyopo mezani siyo maendeleo, hoja ni nani amempa nani ustaarabu. Zama kwenye hoja husika, tueleze unachojua. Kuhusu maendeleo ni hoja nyingine. Na hiiyo haina maana ukimfundisha mtu maarifa pia lazima umzidi kiuchumi.
hatari sana ..kuna watu mnahoja fikirishi hadi raha..mwalimu huwa anamfundisha mwanafunzi huweza ikatokea mwalimu akapata kuja kuwa waziri au akabaki kuwa mwalimu ..kisha mwanafunzi akajakuwa raisi au akaishia kuwa MTeja mitaani
 
Kumbuka Afrika ni Continent, kama kuna sehemu walikuwa wanatembea Uchi sehemu nyingine walikuwa na empire's. Na sehemu nyingine walikuwa wanafua v yuma, mfano unafaham kuwa Uganda walikuwa wanafua vyuma kabla ya kuja wazungu?
uko vizuri sana ..mwaga mambo
 
nawasalimu jf members, kuna mwanajamvi alitoa uzi usemao mtu mweusi ndie alipeleka ustaarabu ulaya na asia, iyo si kweli bali kuanza kuhubiriwa kwa dini ya kiislam na mtume muhamad 7century kulipelekea mwaka 708 kundi la waarabu kuingia north africa morocco lengo likiwa kueneza dini na ustaarabu wao dunia yote, watu wa north africa wakawapokea waarabu na kukubali kiarabu kua lugha yao na uislam kua dini yao.
mwaka 711 AD chini ya kamanda wa kiarabu tarik ibn zayid (gilbral) likaundwa jeshi (moorish army) lipatako watu 7000, watu weusi 6700 (watu wa north afrika walikua weusi) na waarabu 300 na safari ya kwenda ulaya ikaanza wakapita iberian peninsula kwenye mlima mkubwa wa mawe na hadi leo mlima huo unaitwa tarik mountains (gilbrater), kiarabu wanaita jabal eltarik yote yakisanifu jina la tarik ibn ziyad. baada ya kukanyaga ardhi ya spain tarik akaamuru boti zao zote zichomwe moto lengo likiwa ata yakizuka mapigano washindwe kurudi nyuma wapigane adi kufa ili azma yao ya kupeleka dini itimie. INAENDELEA
Mange atatusaidia
 
Kwani Ibrahimu alikuwa Mmisri au Mwarabu?
kutahiri kumeanzia mashariki ya kati, wakati mwenyezi mungu anaweka agano na abrahamu mwanzo17:10-12
"ili ndilo agano utakaloshika kati yangu na wewe na wazawa wako kila mwanaume mingoni mwenu lazima atahiriwe."
wakati musa anatoka nchi ya midiani kurudi misri.
kutoka4:24-26
"akiwa bado njiani kurudi misri musa alikua mahali pa kulala wageni mungu alikutananaye na kutaka kumuua. hapo zipora alikimbia haraka akachukua jiwe kali akalikata govi la mwanawe. zipora alikua mke wa musa na mwanawe alitwa girshamu.
apa utagundua walianza kutahiri kabla chuma hakijaanza kutumika 1000 BC na shaba 1800 BC.
inasemekana misri walianza kutahiri 2230 BC lakini ushahidi wake haujitoshelezi kwakua wanaangalia michoro ya mastaba of ankhmahur ambayo ilichorwa miaka iyo lakini picha zake hazionekani vizuri kama watu wanaoonekana walikua wanatahiriwa au walikua wananyolewa ila inahisiwa tendo lililokua likifanyika pale ni thr.
 
Tohara imeanza Afrika kabla hata ya adamu na hawa.
 
Waarabu wameanza kustaarabika na kuendelea kisayansi baada ya kuingia kwa uislamu karne ya 7. Lakini waroma walitawala dunia, walikuwa na mabafu ya jumuia, walijenga viwanja vya maonyesho ambavyo leo ndiyo tunadizaini viwanja vya mipira, walijenga barabara nk kabla ya karne ya kwanza, zaidi ya karne 7 kabla mwaarabu hajaanza kustaarabika utasemaje mwarabu kaleta ustaarabu ulaya?. Kilichomsaidia mwaarabu ni kuwa wa kwanza kumiliki bunduki/mizinga baada ya kuiba teknolojia ya gunpowder china. Hiyo ndiyo ilifanya waweze kuiteka spain na kuitawala miaka 800.
 
Muhammad s.a.w ndie aliyekuja kuwastaarabisha waarabu kabla ya hapo walikuwa mapagani waliokuwa wakizika watoto wao wa kike ilihali wakiwa hai.
 
Tohara imeanza Afrika kabla hata ya adamu na hawa.
kipindi icho ata thamani ya kuficha utupu wetu tulikua hatujaujua ndio itakua kutoa 'mkono wa sweta.'
 
kipindi icho ata thamani ya kuficha utupu wetu tulikua hatujaujua ndio itakua kutoa 'mkono wa sweta.'
Kweni wewe katika fikra zako Adam na Hawa ilikuwa ni mwaka gani?
 
Back
Top Bottom