Si niliwaambia msioe? Hebu tujiulize haya juu ya DED Mafia na Mkewe

Si niliwaambia msioe? Hebu tujiulize haya juu ya DED Mafia na Mkewe

Kwa ufupi

Alichagua kuwa na mnyonge wengine Hawa kwasiku wanaliwa maratatu Hadi 8 ,wann

Akaona afadhari ,anayemfungia ndani kila akirudi ya moto , akinashangazi hadi wakoke MKAA waipashe
Aah kmmke nimecheka kinoma
 
Kama amebaka asukumwe ndani tu, kwanini umharibie binti wa miaka 16
 
ukaharibu maisha ya binti wa watu, kisa kimshahara chako cha 50k??
Unaharibu maisha yake... ?

Assume hujam repu, ni binti wa miaka 19, katoa ridhaa, umem tega tega kwa namna yeyote halali, kwa kuwa charming, au kwa kumpa hela atumie wazazi, au kwa kuwa mpole na mwenye huruma kwake kuliko li mama lenye nyumba. Mkazoena akakulegezea.

Unaharibu vipi maisha yake ukilala nae ?
 
Hapo usikute, mke Nae siku nyingi ana nahusuano, Sasa beki tatu imekua sababu ya kuvunja mahusuano ili awe huru kuingia ktk mahusuano mapya
 
INTRODUCTION:
Nawasalimu kwa jina la muungano wa Tanzania...!!

BODY
Tarehe 18/04 Mtukufu Rais wetu alitengua uteuzi wa DED wa Mafia Bwana Kassim Seif Ndumbo, ila wajuzi wa mambo wanasema, kosa alilonalo ni kashfa ya kubaka binti (minor) ambae alikuwa "House girl" wake.

SCENARIO
Ila Mimi kwenye hii kesi/kashfa nina maswali yafuatayo...

1. Mkewe DED ndiye aliyeishikilia kidete kesi hii. Kwamba aliamua kuchagua upande wa binti na kumchomo mumewe mwenye hela.

2. Taarifa zinasema "Binti alikataa hela alizoletewa na polisi ili akaushe asiseme popote" Ila usisahau hapo kabla, binti na DED walikua na uhusiano..!! NI TAARIFA TU LAKINI.

3. Ni mwanaume gani anayepata mshahara wa LSSE 1, posho kibao, safari za kikazi kibao ila akaamua kwenda ku"date" na kabinti akaacha wanawake kibao ambao kwa status yake HAWEZI KUWAKOSA?

4. Kama binti na DED walikuwa na uhusiano, inakuaje keo Binti akatae pesa za bwana ake?

5. Inakuaje binti awe na uhusiano na DED halafu leo achoke ghafla aende kumshtaki DED polisi?

CONCLUSION
Anyway tuachie polisi wafanye kazi yao. Ila usisahau kwenye hii kesi mtoa taarifa mkuu ni MKE WA DED..!!

Na hizi ndio NDOA ZENU.

Endeleeni kushupaza shingo na KUOA.

Mwenzenu kakomaa na uchawa akapata uteuzi, leo hii uteuzi wake unatenguliwa na taarifa/kashfa kutoka kwa MKEWE..!!!

Pia soma: Mkurugenzi aliyetenguliwa Mafia, kuchunguzwa kwa Ubakaji
hiyo ni ajali tu
mbona ajali zinatokea za vyombo vya moto na bado tunapanda na kuendelea kuvinunua
 
Back
Top Bottom