Si niliwaambia msioe? Hebu tujiulize haya juu ya DED Mafia na Mkewe

Tusigeuze uovu uonekane jambo la kawaida, DED kapata alichostahili kadri ya matendo yake. Wengi wanaona ni rahisi kuongea kwa sababu huo uovu hauwahusu na haujafanyika kwao na hauwagharimu kwa namna yeyote ile.

Sitokaa nikubaliane na maovu yeyote yale hata kama niyafanye mimi, yakibainika ni haki kuwajibishwa.
Shukrani kwa heshima mkuu 🙏.
DED hajabaka nakataaa na ukute hata huo uchi wa Hausi geli haujui

Mke aache useng*

#YNWA
 
Kama kuwagonga under 18 ni ubakaji basi wasichana wengi wanabakwa 😁 mtaani! Sababu kuna vitoto vya std 6 hadi form 2 vimewiva vinatafunwa balaa na hakuna rape cases! Hilo ni pigo la mke na kapitia udhaifu wa beki 3 kuwa minor.
Sio “kama” , ni ubakaji… consent age hapa kwetu ni 18 years… hivyo ili muwe salama inabidi mpeleke madokezo bungeni kuomba age consent iwe 14 au 12 kabisa, kusudi muwe huru kufanya nao mtakayo bila kuwa na wasiwasi wa kupelekwa korokoroni mkibainika….

Wakati huo huo, binti yako wa 12/14 ukimkuta na njemba unachukua binti unarudisha nyumbani na unaagana na njemba kiroho safi, hopefully unaona consequence zake.

Hakuna rape cases kwasababu ya mazoea, kuporomoka kwa maadili, na irresponsible parenting. Ila kisheria hizo zote ni rape cases.. Binafsi nikikukuta mtaani na mtoto mdogo nitakuanzishia viboko kabla hatujafikishana kwa pilato.
 
Inategemea kama mtoto ni wako ila kama sio wako jua tu lazma nikutoe nishai
 
Wanapitia magumu sana hawa wasaidizi wa kazi, hiyo 50K wengine bado wanawadhulumu ndio maana wengine hufikia hatua ya kufanya matukio ya ajabu na ya kikatili kwenye familia za waajiri wao.

Wanastahili kuheshimika sio kwa sababu ya shida zake ndio iwe fursa ya kuwatumia tutakavyo. Kuna familia ndugu wote wa kiume wamepita na dada wa kazi, hii ni aibu na sio sawa kabisa.
Wanastahili heshima na appreciation kubwa sana. Roles wanazoplay kwenye maisha yetu na watoto wetu; daah Mungu awabariki wadada wote wanaotunza familia zetu kwa uaminifu na upendo. Na atusaidie na sisi tusikose fadhila juu yao.
 
Na iwe hivyo na wao wanahitaji upendo wa familia.
 
Awe amefanya au ajafanya jambo muhimu kama baba wa unayejieshimu utakiwi kumtazama kijakazi Kwa macho ya kumtamani , hiyo ni kukosa heshima Kwa mkeo na kumfedhehesha hivyo utakiwi kuonewa huruma kama ambavyo umhurumii mtoto anayetafuta kuona kama atakuwa na kesho yake badala yake unaenda kumharibia maisha na unaanza tafta jamii ikuonee huruma.
 
Kuna maswali umeyahoji hadi mtu anajiuliza "is he really serious!!!"
Yaani kama sio nyie ambao huwa mnashadadia ujinga wa kuwabaka house girls humu. Mambo yakiwageukia ndio mnajua wapo mabinti wa "status zenu".

Haki itendeke, safi sana mke kasimama kama mama.
Wanawake siku zote ni watu wa kukurupuka, baadae litajifanya limepitiwa mazafanta...
 
KAandika Liverpool VPN au mr kataa ndoa.

Kwa haraka harakana kwa ufahamu wangu
1 Inawezekana mke wa mr aligundua mchezo wa dada wa kaz na mume wake. Akapandwa na hasira akasema lazma amkomeshe mume wake. Point ikiwa ni kumshawishi dada wa kaz akafungue kesi ya kubakwa la sivyo yeye atamdondokea maana inawezekana alimkamata na ushaidi ambao ulionesha anatembea na mume wake.

Msamaha wake ni yeye kwenda kufungua kesi ili mme wake akomoke kwa kutembea na dada wa kaz ambako kwake anaona ni dharau iliyoje.

Yote kwa yote kwenye hasira unapaswa kujichunga sana.
Mke kaamua kumwaga mboga
 
Ila kiukweli ukishakuwa mheshimiwa au una jina kubwa kwenye suala la mbunye unatakiwa uwe makini sana..

Kama ulikuwa mtu wa kuokota okota basi inabidi utulie.
Hapa mwamba atakuwa kala. Mke kaamua kumwaga mboga. Hajataka vita na mwanamke mwenzake
 
Sio “kama” , ni ubakaji… consent age hapa kwetu ni 18 years… hivyo ili muwe salama inabidi mpeleke madokezo bungeni kuomba age consent iwe 14 au 12 kabisa, kusudi muwe huru kufanya nao mtakayo bila kuwa na wasiwasi wa kupelekwa korokoroni mkibainika….

Wakati huo huo, binti yako wa 12/14 ukimkuta na njemba unachukua binti unarudisha nyumbani na unaagana na njemba kiroho safi, hopefully unaona consequence zake.

Hakuna rape cases kwasababu ya mazoea, kuporomoka kwa maadili, na irresponsible parenting. Ila kisheria hizo zote ni rape cases.. Binafsi nikikukuta mtaani na mtoto mdogo nitakuanzishia viboko kabla hatujafikishana kwa pilato.
Hakuna ubakaji wowoteee uliofanyika
DED haijui hata ladha ya mbunye ya hausi geli.

Ni plan za mke tu kumuangamiza mume.

#YNWQ
 
Wanastahili heshima na appreciation kubwa sana. Roles wanazoplay kwenye maisha yetu na watoto wetu; daah Mungu awabariki wadada wote wanaotunza familia zetu kwa uaminifu na upendo. Na atusaidie na sisi tusikose fadhila juu yao.
Na mungu awasaidie baba wotee wanaosingiziwa ujinga na wake zao.

Na ndio maana tunakufa mapema sanaaa.

Ukute hata ladha ya mbunye ya hausi geli HAIJUI..!!!

#YNWA
 
Back
Top Bottom