Si niliwaambia msioe? Hebu tujiulize haya juu ya DED Mafia na Mkewe

Si niliwaambia msioe? Hebu tujiulize haya juu ya DED Mafia na Mkewe

Hii ndio point.
Mwanaume mwenye hela anabakaje?

Mkewe aache useng* na braza wetu DED.

Mke mpumbavu.

#YNWA
Kama kuwagonga under 18 ni ubakaji basi wasichana wengi wanabakwa 😁 mtaani! Sababu kuna vitoto vya std 6 hadi form 2 vimewiva vinatafunwa balaa na hakuna rape cases! Hilo ni pigo la mke na kapitia udhaifu wa beki 3 kuwa minor.
 
Msijustify mambo ya kihuni hapa...DED amebaka na anatakiwa kufungwa maisha jela au miaka 30. Mamaeh.
Mkuu,Katika kesi ambazo huwa siziamini ni Kesi zote ambazo zinahusiana na suala zima la NGONO.Sisemi kwamba Naunga Mkono alichofanya DED ila ninachosema ni kwamba Kesi nyingi zinazohusiana na NGONO zinapokuwa zina migogoro ya kimaslahi basi huwa nakaa kwenye ile kanuni ya Innocent until proven Guilty-Beyond Reasonable Doubts.

Kwa nini huwa nasema hivi.Kwa mtu wa Nafasi ya DED kufanya tukio kama hilo ni fedheha,Ila kama Pia alitoa na kusambaza Taarifa ni Mke wake basi ni Fedheha+ na Tatu kama Kuna watu walijaribu kumshawishi binti akubali PESA ili tu afiche kuwa amebakwa basi ni Fedheha++ ila nitakwambia ukweli mchungu. Unaweza Kukuta Huyu Binti sio under 18.Unaweza kukuta Pia ilikuwa consent na kwamba Binti yuko under Pressure kutoka kwa Mother house.

Kwa Ufupi Kesi nyingi zinazohusiana na NGONO has pale ambapo anayehusika Ni Mke,Mume na Mwanamke wa Tatu huwa zina stori ndefu sana....

Ni Mtazamo wangu tu.Kama Amebaka Atandikwe Mvua zake 30.Ukiona hajatandikwa Mvua zake 30 Basi Ujue Hakubaka bali alidakwa
 
Umeandika mawazo yangu, nashukuru nimepitia kwanza kabla sijaandika maana umesema kila kitu.
Hii post imekupa heshima yangu.
Tusigeuze uovu uonekane jambo la kawaida, DED kapata alichostahili kadri ya matendo yake. Wengi wanaona ni rahisi kuongea kwa sababu huo uovu hauwahusu na haujafanyika kwao na hauwagharimu kwa namna yeyote ile.

Sitokaa nikubaliane na maovu yeyote yale hata kama niyafanye mimi, yakibainika ni haki kuwajibishwa.
Shukrani kwa heshima mkuu 🙏.
 
Mwanamke anayempenda mume wake lazima atakuwa upande wa mme wake hata kama ni jambazi
Mwanamke anapenda mume akiwa ndani ya miezi 6 tu ya kwanza. Mkishaanza kuishi kwa mazoea mapenzi yanajifia taratibu.

Nachokiona mke alishamchoka mumemwe tu na kuna uwezekano hali ya kunyimana unyumba ilishaanza inshort ndoa ilikuwa ICU. Mke amepata exit plan na kaitumia kikamilifu ili kuficha vipengele vyake na kafanikiwa kwa 100%
 
Ni kweli kabisa; mabinti wengi wa kazi wamekuwa abused na baba na vijana wa familia. Na wengine wanaishia kuambukizana gonjwa familia nzima.

Hawa mabinti wa kazi karibia wote wanatoka kwenye familia zisizojiweza; wapo hapo kwa ajili ya kutafuta kipato kwa ajili ya kusaidia familia zao. Kuna hatma za familia zao wamezibeba wao kupitia kazi hiyohiyo. Badala ya nyie kuwatreat kama mabinti zenu; mnawalazimisha kuwa wake zenu kinguvu. Mwanaume anayeshindwa kumuheshimu binti wa kazi ambaye ni sawa na binti yake; sitoshangaa kusikia amelala na mabinti zake wa kuwazaa; hapo ndugu wa kike wa mke ndiyo weka mbali kabisa. It's so despicable

Hela mnazo, si mkatafute makahaba wenzenu huko nje; ukaharibu maisha ya binti wa watu, kisa kimshahara chako cha 50k?? Apandacho mtu; ndicho atakachovuna
Wanapitia magumu sana hawa wasaidizi wa kazi, hiyo 50K wengine bado wanawadhulumu ndio maana wengine hufikia hatua ya kufanya matukio ya ajabu na ya kikatili kwenye familia za waajiri wao.

Wanastahili kuheshimika sio kwa sababu ya shida zake ndio iwe fursa ya kuwatumia tutakavyo. Kuna familia ndugu wote wa kiume wamepita na dada wa kazi, hii ni aibu na sio sawa kabisa.
 
Uovu hapa hapa kutendewa unatakiwa kuelekezwa kwa binti sio huyo mwanamke.

Kama kaamua kuhandle mambo kwa hisia ndio hivyo tena mume kazi imefika tamati na kesi ndip hiyo,itachoma pesa nyingi tu,si ajabu akapigwa chini jamaa akaamua kuhamia kwa beki tatu kabisa.
Acha avune alichopanda, sisi tumeyajua hayo machache machache tuliyobahatika kuwekwa wazi nadhani kuna mengine zaidi ambayo yamepelekea hadi kufikia huku.
 
Mkuu umenishangaza sana, kwahiyo ulitaka mke afunike kombe DED aendelee kujilia dada wa kazi?
Tayari mke alikuwa na sababu ya kufanya hivyo kwa hasira na maumivu ya kusalitiwa tena kwa mtu ambae wanaishi nae.

Itoshe kusema ndoa sio kichaka cha kufichia maovu/waovu, haki itendeke hawa mabeki tatu wanadhalilishwa sana kuna nyumba unakuta kaliwa kuanzia na baba mpaka last born.

Kataa ndoa isikufanye ushindwe kuona hata uovu uliotendeka.
Kwa taarifa jamaa ana wake wawili, mmoja Kigamboni(mke mkubwa) na bi mdogo ni mwalimu kamwamisha Tanga kamleta Mafia

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
 

Tangu nijiunge na JamiiForums sijawahi kuona mtu amejihoji maswali ya kijinga kama huyu. Sidhani kama kuna mtu atakufunika kwa kujihoji maswali ya kijinga zaidi ya haya.
 
INTRODUCTION:
Nawasalimu kwa jina la muungano wa Tanzania...!!

BODY
Tarehe 18/04 Mtukufu Rais wetu alitengua uteuzi wa DED wa Mafia Bwana Kassim Seif Ndumbo, ila wajuzi wa mambo wanasema, kosa alilonalo ni kashfa ya kubaka binti (minor) ambae alikuwa "House girl" wake.

SCENARIO
Ila Mimi kwenye hii kesi/kashfa nina maswali yafuatayo...

1. Mkewe DED ndiye aliyeishikilia kidete kesi hii. Kwamba aliamua kuchagua upande wa binti na kumchomo mumewe mwenye hela.

2. Taarifa zinasema "Binti alikataa hela alizoletewa na polisi ili akaushe asiseme popote" Ila usisahau hapo kabla, binti na DED walikua na uhusiano..!! NI TAARIFA TU LAKINI.

3. Ni mwanaume gani anayepata mshahara wa LSSE 1, posho kibao, safari za kikazi kibao ila akaamua kwenda ku"date" na kabinti akaacha wanawake kibao ambao kwa status yake HAWEZI KUWAKOSA?

4. Kama binti na DED walikuwa na uhusiano, inakuaje keo Binti akatae pesa za bwana ake?

5. Inakuaje binti awe na uhusiano na DED halafu leo achoke ghafla aende kumshtaki DED polisi?

CONCLUSION
Anyway tuachie polisi wafanye kazi yao. Ila usisahau kwenye hii kesi mtoa taarifa mkuu ni MKE WA DED..!!

Na hizi ndio NDOA ZENU.

Endeleeni kushupaza shingo na KUOA.

Mwenzenu kakomaa na uchawa akapata uteuzi, leo hii uteuzi wake unatenguliwa na taarifa/kashfa kutoka kwa MKEWE..!!!

Pia soma: Mkurugenzi aliyetenguliwa Mafia, kuchunguzwa kwa Ubakaji
dronedrake hii ni agenda ya kikao kijacho
 
Back
Top Bottom