Si niliwaambia msioe? Hebu tujiulize haya juu ya DED Mafia na Mkewe

Si niliwaambia msioe? Hebu tujiulize haya juu ya DED Mafia na Mkewe

MTU HUVUNA ALICHOPANDA,
NA YAWEKEZANA AROBAIN YAKE IMEFIKA
NA PENGINE KUNA WAHANGA WENGI WALIOFANYIWA HIVI.
NA PENGINE MKE ALIISHACHOKA NA HIZI DRAMA.
 
Inasikitisha kuona comment kama hii inatoka kwa mwanamke (kama kweli ni mwanamke!). Hebu jaribu kufikiria kama huyo binti underage angekuwa ni mtoto wako. Ungeyasema haya?

There is no justification for rape whatsoever. None!; na kwa mtoto ambaye hajafikisha miaka 18 ni unyama usio na kipimo. Inasikitisha kwamba hata wanawake mnaweza kutafuta justification kuhalalisha kile alichokifanya huyu rapist!

Kama alikuwa hapewi unyumba na mkewe si angeenda kutafuta michepuko huko nje? Pesa si anazo?
Huyo sio mwanamke ni njemba hiyo.
 
INTRODUCTION:
Nawasalimu kwa jina la muungano wa Tanzania...!!

BODY
Tarehe 18/04 Mtukufu Rais wetu alitengua uteuzi wa DED wa Mafia Bwana Kassim Seif Ndumbo, ila wajuzi wa mambo wanasema, kosa alilonalo ni kashfa ya kubaka binti (minor) ambae alikuwa "House girl" wake.

SCENARIO
Ila Mimi kwenye hii kesi/kashfa nina maswali yafuatayo...

1. Mkewe DED ndiye aliyeishikilia kidete kesi hii. Kwamba aliamua kuchagua upande wa binti na kumchomo mumewe mwenye hela.

2. Taarifa zinasema "Binti alikataa hela alizoletewa na polisi ili akaushe asiseme popote" Ila usisahau hapo kabla, binti na DED walikua na uhusiano..!! NI TAARIFA TU LAKINI.

3. Ni mwanaume gani anayepata mshahara wa LSSE 1, posho kibao, safari za kikazi kibao ila akaamua kwenda ku"date" na kabinti akaacha wanawake kibao ambao kwa status yake HAWEZI KUWAKOSA?

4. Kama binti na DED walikuwa na uhusiano, inakuaje keo Binti akatae pesa za bwana ake?

5. Inakuaje binti awe na uhusiano na DED halafu leo achoke ghafla aende kumshtaki DED polisi?

CONCLUSION
Anyway tuachie polisi wafanye kazi yao. Ila usisahau kwenye hii kesi mtoa taarifa mkuu ni MKE WA DED..!!

Na hizi ndio NDOA ZENU.

Endeleeni kushupaza shingo na KUOA.

Mwenzenu kakomaa na uchawa akapata uteuzi, leo hii uteuzi wake unatenguliwa na taarifa/kashfa kutoka kwa MKEWE..!!!

Pia soma: Mkurugenzi aliyetenguliwa Mafia, kuchunguzwa kwa Ubakaji
Umeandika rubbish kabisa. Una uwezo mdogo wa kutafakari.
 
Kuna maswali umeyahoji hadi mtu anajiuliza "is he really serious!!!"
Yaani kama sio nyie ambao huwa mnashadadia ujinga wa kuwabaka house girls humu. Mambo yakiwageukia ndio mnajua wapo mabinti wa "status zenu".

Haki itendeke, safi sana mke kasimama kama mama.
Mimi ni mwanaume na sisi wanawaume huwa tuna ubinafsi sana kwenye mambo ya sex. Fikiria ingekuwa ni mke wa jamaa ametembea na houseboy jinsi ambavyo angeshambuliwa.
 
yaani mtu ambaye mnaambiwa ni mwili mmoja anataka ufungwe miaka 30
kataa ndoa mna hoja sana
Hahahahaha sasa kama mke kufungwa kwa mumewe ana maslahi nako watagawana mali anakula 50% share na anaendelea kugongwa na mchepuko wake kwa uhuru.
 
Kwahiyo DED



Swali:- Nani kasema DED kabaka?
Jibu:- Ni mkewe.

Soma tena point yangu ya 3

HAKUNA UBAKAJI WOWOTEEE, mwanamke katafuta pa kumpatia mumewe na kapapata..!!!!

#YNWA
DED kaingia kwenye mfumo wa mkewe 😂 na mke hakutaka kupoteza muda kaamua amalize show kibabe.
 
Back
Top Bottom