Si niliwaambia msioe? Hebu tujiulize haya juu ya DED Mafia na Mkewe

Si niliwaambia msioe? Hebu tujiulize haya juu ya DED Mafia na Mkewe

Tangu nijiunge na JamiiForums sijawahi kuona mtu amejihoji maswali ya kijinga kama huyu. Sidhani kama kuna mtu atakufunika kwa kujihoji maswali ya kijinga zaidi ya haya.
Nakusalimia braza mwerevu.

#YNWA
 
INTRODUCTION:
Nawasalimu kwa jina la muungano wa Tanzania...!!

BODY
Tarehe 18/04 Mtukufu Rais wetu alitengua uteuzi wa DED wa Mafia Bwana Kassim Seif Ndumbo, ila wajuzi wa mambo wanasema, kosa alilonalo ni kashfa ya kubaka binti (minor) ambae alikuwa "House girl" wake.

SCENARIO
Ila Mimi kwenye hii kesi/kashfa nina maswali yafuatayo...

1. Mkewe DED ndiye aliyeishikilia kidete kesi hii. Kwamba aliamua kuchagua upande wa binti na kumchomo mumewe mwenye hela.

2. Taarifa zinasema "Binti alikataa hela alizoletewa na polisi ili akaushe asiseme popote" Ila usisahau hapo kabla, binti na DED walikua na uhusiano..!! NI TAARIFA TU LAKINI.

3. Ni mwanaume gani anayepata mshahara wa LSSE 1, posho kibao, safari za kikazi kibao ila akaamua kwenda ku"date" na kabinti akaacha wanawake kibao ambao kwa status yake HAWEZI KUWAKOSA?

4. Kama binti na DED walikuwa na uhusiano, inakuaje keo Binti akatae pesa za bwana ake?

5. Inakuaje binti awe na uhusiano na DED halafu leo achoke ghafla aende kumshtaki DED polisi?

CONCLUSION
Anyway tuachie polisi wafanye kazi yao. Ila usisahau kwenye hii kesi mtoa taarifa mkuu ni MKE WA DED..!!

Na hizi ndio NDOA ZENU.

Endeleeni kushupaza shingo na KUOA.

Mwenzenu kakomaa na uchawa akapata uteuzi, leo hii uteuzi wake unatenguliwa na taarifa/kashfa kutoka kwa MKEWE..!!!

Pia soma: Mkurugenzi aliyetenguliwa Mafia, kuchunguzwa kwa Ubakaji
Mmeona picha za kijakazi mwenyewe!?
 
Screenshot_20240416-171037.png
 
Mnaozungumzs kwa upande wa kukataa yawezekana hamjao na kuolewa. Lakini niwaambie tu ukiwa na pesa na ukishindwa kujiheshimu utaona kila kitu unaweza kufanya.

Ukweli ni kuwa yawezekana ameshakula secretary wote wanaomzunguka. Akawa anatafuta kitu kipya cha kujaribu.

Ofis ya Rais, ni taasis kubwa haikurupuki ikatoa pdf moja tu. Ku aushahidi wa kitu alichofanya hata kama sio hicho cha ubakaji wa bint yake. Yawezekana hata kutoheshimu miiko ya uongozi yake kutokana na cheo chake.

Wenye kuamini tabia za huyi boss ni yule aliyeliwa na boss hata kama aliokotwa club.

Possibly, ndani kulikuwa kunafukuta muda mrefu na mke akatafuta suluhisho lakini kutokana na nyadhifa aliyonayo yawezekana mke hakusikilizwa so akamtegea mtego. Hakuna mke asiyependa kuendesha gari anayotaka akaamua kuvunja ndoa ya mume wake kirahisi.

Yawezekana bint angekuja kuwa mke wa pili, mke akawahi asije akaishi na mtu aliyekuwa anamtuma.

Kuna uwezekano mkubwa boss kala vitu vya moto. Wanaume tunajuana tabua zetu. Ila ndio arobaini imefika.
NDOA ZINA MAMBO MENGI ILI MUISHI NA MEEKE PQMOJA INABIDI MMOJA AWE MJINGA.
 
Huyo mke wa mkurugenzi yeye mwenyewe malaya watu wana ushahidi kibao wanasubiri atulie wamwage ushahidi barabarani ana bwana wake mwalim wa kitomondo hakuna asiejua na picha watu wanazo tunasubiria mvua iishe tutaweka mpaka humu
 
INTRODUCTION:
Nawasalimu kwa jina la muungano wa Tanzania...!!

BODY
Tarehe 18/04 Mtukufu Rais wetu alitengua uteuzi wa DED wa Mafia Bwana Kassim Seif Ndumbo, ila wajuzi wa mambo wanasema, kosa alilonalo ni kashfa ya kubaka binti (minor) ambae alikuwa "House girl" wake.

SCENARIO
Ila Mimi kwenye hii kesi/kashfa nina maswali yafuatayo...

1. Mkewe DED ndiye aliyeishikilia kidete kesi hii. Kwamba aliamua kuchagua upande wa binti na kumchomo mumewe mwenye hela.

2. Taarifa zinasema "Binti alikataa hela alizoletewa na polisi ili akaushe asiseme popote" Ila usisahau hapo kabla, binti na DED walikua na uhusiano..!! NI TAARIFA TU LAKINI.

3. Ni mwanaume gani anayepata mshahara wa LSSE 1, posho kibao, safari za kikazi kibao ila akaamua kwenda ku"date" na kabinti akaacha wanawake kibao ambao kwa status yake HAWEZI KUWAKOSA?

4. Kama binti na DED walikuwa na uhusiano, inakuaje keo Binti akatae pesa za bwana ake?

5. Inakuaje binti awe na uhusiano na DED halafu leo achoke ghafla aende kumshtaki DED polisi?

CONCLUSION
Anyway tuachie polisi wafanye kazi yao. Ila usisahau kwenye hii kesi mtoa taarifa mkuu ni MKE WA DED..!!

Na hizi ndio NDOA ZENU.

Endeleeni kushupaza shingo na KUOA.

Mwenzenu kakomaa na uchawa akapata uteuzi, leo hii uteuzi wake unatenguliwa na taarifa/kashfa kutoka kwa MKEWE..!!!

Pia soma: Mkurugenzi aliyetenguliwa Mafia, kuchunguzwa kwa Ubakaji
Duuh
 
Shida ilianzia kwa DED alifeli kutembea na Kijakazi , alichopaswa yy nikutafuta nje na nyumba yake , ila mke wa DED nae hajielewi alipaswa atulie ale unga .
Mke wa DED mission yake ni DED afungwe yeye abaki kama mrithi wa mali zote za mfungwa
 
Back
Top Bottom