Si niliwaambia msioe? Hebu tujiulize haya juu ya DED Mafia na Mkewe

Viongozi wengine hata uwezo wa kufikiri tu mambo ya kawaida ni Mtihani sana. Sijui huo UDED wanaupataje.

DED unaajiri House Girl under 18? Ili afanye kazi gani nyumbani kwako?
 
Ukute hata mke alikuwa hampi unyumba jamaa
Inasikitisha kuona comment kama hii inatoka kwa mwanamke (kama kweli ni mwanamke!). Hebu jaribu kufikiria kama huyo binti underage angekuwa ni mtoto wako. Ungeyasema haya?

There is no justification for rape whatsoever. None!; na kwa mtoto ambaye hajafikisha miaka 18 ni unyama usio na kipimo. Inasikitisha kwamba hata wanawake mnaweza kutafuta justification kuhalalisha kile alichokifanya huyu rapist!

Kama alikuwa hapewi unyumba na mkewe si angeenda kutafuta michepuko huko nje? Pesa si anazo?
 
Msijustify mambo ya kihuni hapa...DED amebaka na anatakiwa kufungwa maisha jela au miaka 30. Mamaeh.
Hawezi kufungwa......endelea kusubiri sana.

Hawa wajukuu wa Mtume wanapenda sana Vitoto vibichi. Ni kawaida yao.
 
Inabidi umri wa utoto upunguzwe......watoto wa siku hizi ni malaya balaa...hata huwezi amini.


Huyo dogo ukute ni Konkodi kwenye mambo hayo sema kwenye namba ya umri tu.
 
acha kushauri watu ujinga
 
Shida ilianzia kwa DED alifeli kutembea na Kijakazi , alichopaswa yy nikutafuta nje na nyumba yake , ila mke wa DED nae hajielewi alipaswa atulie ale unga .
Tena katoto kadogo ,kesi kubwa ukiangalia ni mme wa mtu.
 
Kuna maswali umeyahoji hadi mtu anajiuliza "is he really serious!!!"
Yaani kama sio nyie ambao huwa mnashadadia ujinga wa kuwabaka house girls humu. Mambo yakiwageukia ndio mnajua wapo mabinti wa "status zenu".

Kwa hiyo inaonekana DED alikuwa member mzuri wa uzi wa Riki ze boy...
 
hii kesi ikimuangukia Ded na hao polisi wa hapo Mafia watakuwa hatiani pia.
Ded hiyo kesi anaichomoa mapema sana tena ushahidi ukipikwa polisi.

na kama binti atakiri hajabakwa na alikuwa na mahusiano nae, kumbukeni sheria zetu za ndoa kwa mwanamke zinamruhusu kuolewa akiwa na miaka 15 kupanda juu(ila kama hasomi).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…